Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

Ngorongoro ni hifadhi ya kidunia kwa sasa si ya Tanzania pekee.

Waliohamia humo ndani kuishi na wanyama, wote wanaondolewa na wameshapewa sehemu zingine za kuishi.

Lussu anataka kwenda kuhutubia fisi? Si akahutubie kwao kwenye mafisi wengi.

Shida sio kwenda kuhutubia mafisiemu kule ila,anataka akawafulumushe kwenye vichaka vya Ngorongoro wakati mumeinamishwa munaliwa na mabwana zenu wa Walodi.
 
Shida sio kwenda kuhutubia mafisiemu kule ila,anataka akawafulumushe kwenye vichaka vya Ngorongoro wakati mumeinamishwa munaliwa na mabwana zenu wa Walodi.
Ukiona mtu anaandika kwa lugha kama yako ujuwe ni mjinga asiye na hoja. Ambae kalelelewa na singo maza, tena siyo mbali sanankutoka kilabu cha pombe.
 
Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho!

Tundu Lissu
Mtandao wa X
Tunapenda kukufahamisha kuwa barua yako tajwa tumeipokea ikiwa na maudhui ya kufanya vikao vya ndani na mikutano ya hadhara maeneo ya kata 3 zizopo tarafa ya Loliondo na kata 3 zilizopo tarafa ya Ngorongoro.

Hata hivyo tarafa ya Ngorongoro ni eneo la Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro na kwamba kuingia na kutoka eneo hilo ni sharti kufuata taratibu zinazosimamia eneo hilo (kupata kiball kutoka Mamlaka ya Ngorongoro).

Aidha kwa upande wa tarafa ya Loliondo kulingana na tarifa mbaimbali tulizo nazo haziruhusu kufanya shughuli za kisiasa hasa mikutano ya hadhara.

Kutokana na sababu hizo hapo juu, tunaelekeza kwamba usitishe mikutano hiyo kwa sasa hadi wakati mwingine ambao utakuwa mwafaka kwa ustawi wa amani na utulivu wa wilaya yetu.
Huku ni kuchanganyikiwa kwa mamlaka sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Ujumbe wa EU ulikataliwa sina hakika kama Mhe. Lissu na Chama chake wakakubaliwa kwenda huko Ngorongoro.

Inaonekana kuna mambo Serikali inajaribu kuyaficha wasijulikane.

Ndiyo maana hata Mbunge wao nilisoma hapa JamiiForums kuwa alitoweka asijulikane alipo kwa muda wa siku kadhaa.

I smell fishy
Fear of the unknown...!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mtu anaandika kwa lugha kama yako ujuwe ni mjinga asiye na hoja. Ambae kalelelwa na singo maza.
Hata niitwe bastard ...sipo tayari kujisalimisha kwa waarabu....Unahoja gani wewe umejaa na ushabiki wa kipuuzi na udini tuu?? by the way you dont respond my replies kulikoni leo?? Kenge wewe
 
Loliondo nako ni kitalu cha kuwinda, nani alimwambia waliokodisha hicho kitalu na wageni wao wanaokuja kuwinda kuwa wanataka siasa?

Huyo mwehu anatafuta kiki kijinga.
Wewe you're imbecile kisa ya udini na ushabiki wakipuuzi...Mh Lissu sio traitor kama nyie majinga
 
Samia anapendwa na Nani!
Hebu watu kuweni serious, we umeenda wapi ukakuta watu wanasema wanampenda hangaya?
Huyu mama mkimuweka agombee 2025 atawapa kazi kubwa sana ya kuiba kura, na msipokuwa makini hiyo kazi itawashinda.
Kila kona Dkt Samia! Tanzania inazizima kwa sababu ya uwezo wake mkubwa wa kuongoza. 2025 ni yeye tu na wala hatuhutaji kupiga kampeni kubwa maana anakubalika sana!
 
Tatizo la hifadhini ni kwamba huwezi kuingia mpaka upate kibali (permit) kutoka NCAA.

Kwahiyo Lissu hataweza kuingia bila permit.
Kwani Lissu anaenda kutembelea hifadhi au kufanya mikutano ya siasa. Kuna shida Ngorongoro.
 
Huyu Mama ni hatari sana.
Hatari wapu mkuu!, Si mlishangilia wakati ule anapewa kijiti kuwa mtakula maziwa na Asali?.

Mkachinja na kunywa kwa furaha huku mkisema huyu ndiye yule alikuwa anasubiliwa kuiponya nchi, AU?
 
Kila kona Dkt Samia! Tanzania inazizima kwa sababu ya uwezo wake mkubwa wa kuongoza. 2025 ni yeye tu na wala hatuhutaji kupiga kampeni kubwa maana anakubalika sana!
Acheni porojo, mafuta yamewashinda na Dola zimeisha kwenye soko. Mpaka mnawalilia World Bank wawape dollar.
 
Lussu ni mwehu asiye na sera, hajuwi aelekee wapi, anadandia kila basi.

Na wewe nae, mada ngorongoro wewe upo bandarini.

Bandari ndiyo sahau, juzi imetangazwa tenda, kama unaweza kafanye kazi, la huwezi, tulia.

Huu ndiyo ujinga wa Kitanzania.
Kama Lissu ni mwehu na alipata distinction Warwick basi hakuna mwenye akili timamu.
 
Jaman c kila jambo ni siasa mmasai hafai pale atoke ili kulinda hifadhi.ni hili mkakati haujanza leo ni wa mda mwng tangia brather ben
Mbunge anafanya kazi gani Kama wamasaai hawafai kukaa Ngorongoro.
 
Unadhani Ngorongoro ni kama kwenda Mbagala...!! Pale getini atapitaje? Akipita kinyemela atachukuliwa kuwa ni jangili... asubiri 2025. Ngorongoro ni eneo linaloiletea nchi fedha nyingi za kigeni na halipaswi kuvurugwa na siasa za kipumbavu za kina Lissu na genge lake. Kama yeye ni shujaa aende akafanyie mkutano wake pale Lugalo au Monduli TMA. Akijifanya kichwa ngumu hakuna rangi ataacha kuona kwa askari wa Ngorongoro... Askari wa kule wafanye kazi ngumu ya kulinda wanyama na bado wapoteze muda na mtu msumbufu kama Lissu?
Yeye anatembelea wananchi sio wanyama. Halafu huu ujinga wa kuwekeana mipaka ya wapi uende na wapi usipende Tanzania umeanza lini?
 
Kama Ujumbe wa EU ulikataliwa sina hakika kama Mhe. Lissu na Chama chake wakakubaliwa kwenda huko Ngorongoro.

Inaonekana kuna mambo Serikali inajaribu kuyaficha wasijulikane.

Ndiyo maana hata Mbunge wao nilisoma hapa JamiiForums kuwa alitoweka asijulikane alipo kwa muda wa siku kadhaa.

I smell fishy
Huo ujumbe ndio kitanzi chake 2025 ogopa sana hao pua ndefu,wakiamua jambo lao Kwa kigezo Cha kutaka kuwalinda Wamasai na sijui haki za binadamu ndio swaga zao,mziki wake Waarabu hatawaona.
 
Mnamuunga mkono? si mnakaa kwenye key board mnamsakizia tu. Lissu kumbuka yaliyomkuta Yesu, waliomwimbia hosana hosana kesho yake wakasema asulubiwe, bora aachiwe jambazi Baraba lakini Yesu asulubiwe. Uko tayari??
Acha kudhihaki dini. Mkishindwa hoja mnakimbilia kumdhihaki Yesu. Jibuni hoja.
 
Kama Lissu ni mwehu na alipata distinction Warwick basi hakuna mwenye akili timamu.
Sijali kapata nini wapi au wapi, hiyo siyo dawa ya kutokuwa mwehu.

Tena hapo umethibitisha kabisa kuwa huyo munyampaa ni mwehu.
 
Back
Top Bottom