OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Sehemu walipouza kipande cha nchi kwa mwarabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mwamba alishaivuka hatua ya kutishwa miaka mingi ili mradi anachokifanya au kukiendea hakivunji sheria...Huu mkutano wa Ngorongoro na Loliondo ni wa kimkakati...serikali itumie busara na sio nguvu.
Wajue tu Lissu haogopi kifo ni mfufuka hivyo hana cha kupoteza.
Huyu simba hazuiliki...wakileta ujinga wasubirie kisu toka EU
😀😀😂🔥
Shujaa Magufuli alimzuia Tundu Lisu kufanya mkutano Kibaha lakini Kidume Antipas kilienda na Mkutano alifanya 😀😀🐼🌟
Kheeee 😳😳 kwan kuna nn humo ngorongoro na loli? Halaf hii mamb ya aman na utulivu inatoka wap? Mbona wameanza mikutano maeneo mengi kuna utulivu na aman? Nadhan wangefunguka kama kuna lingine.wakati mwingine ambao utakuwa mwafaka kwa ustawi wa amani na utulivu wa wilaya yetu.
Huyu soon atapandishwa Cheo ameonesha ujasiriPolisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho!
Tundu Lissu
Mtandao wa X
Tunapenda kukufahamisha kuwa barua yako tajwa tumeipokea ikiwa na maudhui ya kufanya vikao vya ndani na mikutano ya hadhara maeneo ya kata 3 zizopo tarafa ya Loliondo na kata 3 zilizopo tarafa ya Ngorongoro.
Hata hivyo tarafa ya Ngorongoro ni eneo la Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro na kwamba kuingia na kutoka eneo hilo ni sharti kufuata taratibu zinazosimamia eneo hilo (kupata kiball kutoka Mamlaka ya Ngorongoro).
Aidha kwa upande wa tarafa ya Loliondo kulingana na tarifa mbaimbali tulizo nazo haziruhusu kufanya shughuli za kisiasa hasa mikutano ya hadhara.
Kutokana na sababu hizo hapo juu, tunaelekeza kwamba usitishe mikutano hiyo kwa sasa hadi wakati mwingine ambao utakuwa mwafaka kwa ustawi wa amani na utulivu wa wilaya yetu.
Nchi ya watu ile.... metropolitaniYaani Loliondo siyo Tanzania mpaka shughuli za kisiasa zisifanyike huko au kuna kitu gani?
Haya mambo ndiyo yanayotufanya tukatae kutoa bandari zetu kwa mwarabu.
Huu ni ushahidi kuwa Loliondo iliuzwa!
Mbona alikimbia baada ya uchaguzi!?Huu mkutano wa Ngorongoro na Loliondo ni wa kimkakati...serikali itumie busara na sio nguvu.
Wajue tu Lissu haogopi kifo ni mfufuka hivyo hana cha kupoteza.
Huyu simba hazuiliki...wakileta ujinga wasubirie kisu toka EU
Lissu kafanya mikutano robo nzima ya Nchi.Huu mkutano wa Ngorongoro na Loliondo ni wa kimkakati...serikali itumie busara na sio nguvu.
Wajue tu Lissu haogopi kifo ni mfufuka hivyo hana cha kupoteza.
Huyu simba hazuiliki...wakileta ujinga wasubirie kisu toka EU
Yule alimkimbiza leo yuko wapi? Si kwamba alikimbia zaidiMbona alikimbia baada ya uchaguzi!?
Jibu swali,acha tabia za kimalayaYule alimkimbiza leo yuko wapi? Si kwamba alikimbia zaidi
'kule hakuna watu,wameambiwa waende Msomera'.Yaani hakuna watu,halafu wameambiwa waende Msomera... Bilashaka Tundu,anajua kua kuna watu,na aachwe aende.Write your reply...lisu ngoro2 kunann? Anataka utalii?C wamruhusu kwa vibali ya utalii wa ndani?C kila jambo siasa.kule hakuna watu wameambiwa waende msomera fulstop.
Nawaza isije kuwa kun Meckanzie wa kenys huko ngoroKama Ujumbe wa EU ulikataliwa sina hakika kama Mhe. Lissu na Chama chake wakakubaliwa kwenda huko Ngorongoro.
Inaonekana kuna mambo Serikali inajaribu kuyaficha wasijulikane.
Ndiyo maana hata Mbunge wao nilisoma hapa JamiiForums kuwa alitoweka asijulikane alipo kwa muda wa siku kadhaa.
I smell fishy
Unadhani Ngorongoro ni kama kwenda Mbagala...!! Pale getini atapitaje? Akipita kinyemela atachukuliwa kuwa ni jangili... asubiri 2025. Ngorongoro ni eneo linaloiletea nchi fedha nyingi za kigeni na halipaswi kuvurugwa na siasa za kipumbavu za kina Lissu na genge lake. Kama yeye ni shujaa aende akafanyie mkutano wake pale Lugalo au Monduli TMA. Akijifanya kichwa ngumu hakuna rangi ataacha kuona kwa askari wa Ngorongoro... Askari wa kule wafanye kazi ngumu ya kulinda wanyama na bado wapoteze muda na mtu msumbufu kama Lissu?MH tundu lissu ashasema anaenda kisheria polisi ni kuwaataarifu tu, wagome au wakatae ni maamuzi yao, natamani kua kama lissu yani haki yake anaipigania haombi anaichukua hii ni tofauti karibu asilimia 99.99 ya watz tunaomba haki zetu tubadilike kwakweli.
Mwenzake alikimbia ila leo yuko hai. Allakhu AkbarJibu swali,acha tabia za kimalaya
Walimwambia akitoka Ubelgiji akitua JNIA wanamalizana naye pale pale aisee niliogopa sana hadi nikasema bora jamaa asirudi.... Mshkaji alirudi mchana kweupe mapokezi yalijaa dar nzima.MH tundu lissu ashasema anaenda kisheria polisi ni kuwaataarifu tu, wagome au wakatae ni maamuzi yao, natamani kua kama lissu yani haki yake anaipigania haombi anaichukua hii ni tofauti karibu asilimia 99.99 ya watz tunaomba haki zetu tubadilike kwakweli.
Kwa nyie mafia Paka anathamani kuliko binadamu .... hapa unawakilisha roho ya mauwaji.....ushetaniUnadhani Ngorongoro ni kama kwenda Mbagala...!! Pale getini atapitaje? Akipita kinyemela atachukuliwa kuwa ni jangili... asubiri 2025. Ngorongoro ni eneo linaloiletea nchi fedha nyingi za kigeni na halipaswi kuvurugwa na siasa za kipumbavu za kina Lissu na genge lake. Kama yeye ni shujaa aende akafanyie mkutano wake pale Lugalo au Monduli TMA. Akijifanya kichwa ngumu hakuna rangi ataacha kuona kwa askari wa Ngorongoro... Askari wa kule wafanye kazi ngumu ya kulinda wanyama na bado wapoteze muda na mtu msumbufu kama Lissu?
Mkuu tafadhali sana wavuta bangi hatuko hivo.....Ndoto na sala za wavuta bangi.