ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Anakufaa nani? 😁😁Hatufai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakufaa nani? 😁😁Hatufai
Better Than Never !!!Tuamkeni kutoka kwenye usingizi huu
Shida tutaweza?Better Than Never !!!
Then Be Prepared For A VICIOUS CYCLE !!Shida tutaweza?
NotedThen Be Prepared For A VICIOUS CYCLE !!
Hatari sana kwa kweli.Ndiyo maana teuzi zipo kiukoo zaidi na siyo kiutendaji
Lissu yuko very technical,Huu mkutano wa Ngorongoro na Loliondo ni wa kimkakati...serikali itumie busara na sio nguvu.
Wajue tu Lissu haogopi kifo ni mfufuka hivyo hana cha kupoteza.
Huyu simba hazuiliki...wakileta ujinga wasubirie kisu toka EU
Mi ntakuwepo na nitawaongoza vijana kuyachapa makaburi ya vijana wote wa miaka hiiiHatari sana kwa kweli.
wale Mungu atakaowajalia Umri mrefu wa kuishi walau kufika 2055, wajiandae kuulizwa maswali mengi na vijana wa miaka hiyo.
Maana itaonekana ni kama Nchi nzima haikuwa na watu wenye uwezo wa kuhoji wakati haya mabaya yakifanyika 🙌
Aguswe anuke🤣Lissu yuko very technical,
Mungu akusaidie, InshaAllah 🙏Mi ntakuwepo na nitawaongoza vijana kuyachapa makaburi ya vijana wote wa miaka hiii
Ngorongoro ni hifadhi ya kidunia kwa sasa si ya Tanzania pekee.Samia ni zimwi kabisa, hivi huko Ngorongoro wanaficha kitu gani? huyu mwanamke ni mtu wa ajabu na hatari sana, asiye huruma kabisa.
Sasa ameamua kutumia cheo chake kuwanufaisha anaowajali yeye, wala hatujali watanganyika alioapa kuwatumikia.
Huyu mtu anastahili kabisa kupelekwa mahakamani kwa kukiuka kiapo alichoapa, amegeuka msaliti wa wazi kabisa asiye na chembe ya aibu.
Sitaki kuamini siku hizi ndani ya nchi yetu kuna sehemu hatutakiwi kukanyaga, huku ni kuvunja sheria makusudi, halafu akiambiwa ukweli anasema ameziba masikio na kutafuta uadui na watu, huyu dikteta mwanamke ni balaa kabisa.
Wajue tu, vile wanavyozidi kuzuia watu wasiende Ngorongoro ndivyo ambavyo wengi watataka kujua wanachoficha huko, iko siku ukweli utafahamika.
Ndo maana tunaambiwa Roliondo na Ngorongoro zimeuzwa ni mali ya waarabu. Huwezi ukaingia kufanya mikutano ya kisiasa nchi ya watuPolisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho!
Tundu Lissu
Mtandao wa X
Tunapenda kukufahamisha kuwa barua yako tajwa tumeipokea ikiwa na maudhui ya kufanya vikao vya ndani na mikutano ya hadhara maeneo ya kata 3 zizopo tarafa ya Loliondo na kata 3 zilizopo tarafa ya Ngorongoro.
Hata hivyo tarafa ya Ngorongoro ni eneo la Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro na kwamba kuingia na kutoka eneo hilo ni sharti kufuata taratibu zinazosimamia eneo hilo (kupata kiball kutoka Mamlaka ya Ngorongoro).
Aidha kwa upande wa tarafa ya Loliondo kulingana na tarifa mbaimbali tulizo nazo haziruhusu kufanya shughuli za kisiasa hasa mikutano ya hadhara.
Kutokana na sababu hizo hapo juu, tunaelekeza kwamba usitishe mikutano hiyo kwa sasa hadi wakati mwingine ambao utakuwa mwafaka kwa ustawi wa amani na utulivu wa wilaya yetu.
Tatizo la hifadhini ni kwamba huwezi kuingia mpaka upate kibali (permit) kutoka NCAA.MH tundu lissu ashasema anaenda kisheria polisi ni kuwaataarifu tu, wagome au wakatae ni maamuzi yao, natamani kua kama lissu yani haki yake anaipigania haombi anaichukua hii ni tofauti karibu asilimia 99.99 ya watz tunaomba haki zetu tubadilike kwakweli.
Ndoto na sala za wavuta bangi.Nadhani wanakosea. Rais Dkt Samia hataki uminyani ya uhuru wa siasa. Hawa polisi wanakosea. Mh. Lisu hata fanyeje hakubaliki kabisa. 2025 ni Dkt Samia pekee ndiye anapendwa zaidi. Polisi wamuache azurule atakavyo maana kukaa ndani ulaya kumemchosha sana. Ukizingatia hana mshahara hizo ndiyo per diem zake jamani.
KWANINI NGORONGORO AKATAZWE KUFANYA MIKUTANO KUNA NINI ?Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho!
Tundu Lissu
Mtandao wa X
Tunapenda kukufahamisha kuwa barua yako tajwa tumeipokea ikiwa na maudhui ya kufanya vikao vya ndani na mikutano ya hadhara maeneo ya kata 3 zizopo tarafa ya Loliondo na kata 3 zilizopo tarafa ya Ngorongoro.
Hata hivyo tarafa ya Ngorongoro ni eneo la Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro na kwamba kuingia na kutoka eneo hilo ni sharti kufuata taratibu zinazosimamia eneo hilo (kupata kiball kutoka Mamlaka ya Ngorongoro).
Aidha kwa upande wa tarafa ya Loliondo kulingana na tarifa mbaimbali tulizo nazo haziruhusu kufanya shughuli za kisiasa hasa mikutano ya hadhara.
Kutokana na sababu hizo hapo juu, tunaelekeza kwamba usitishe mikutano hiyo kwa sasa hadi wakati mwingine ambao utakuwa mwafaka kwa ustawi wa amani na utulivu wa wilaya yetu.
Unatoa Jibu tofauti na Polisi, unamwakilisha nani? IBARA 4 (2) ya mkataba huu wa Kimangungo inasema Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Tukaombe idhini Dubai kwa Mali zetu? Yaani Sasa hata kupita Ngorongoro tukaombe idhini Dubai? Huu ujinga ubaki CCM na Dubai.Loliondo nako ni kitalu cha kuwinda, nani alimwambia waliokodisha hicho kitalu na wageni wao wanaokuja kuwinda kuwa wanataka siasa?
Huyo mwehu anatafuta kiki kijinga.