Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

Ndoto na sala za wavuta bangi.
Mkuu mbona rais Dkt Samia alishasema akina lisu waachwe wafanye mikutano. Yeye rais anajua kabisa mbowe hana kazi, lisu jobless, lema ndiyo kabisa hana kazi wala hana ujuzi alipata zero akawa jambazi haajiriki, na kumbuka hela za ruzuku huwezi tumia bila activity ndiyo maana wanatengeneza activity kama visafari vya mikutano uchwara ili wapate perdiem hahahaha
 
Ngorongoro ni hifadhi ya kidunia kwa sasa si ya Tanzania pekee.

Waliohamia humo ndani kuishi na wanyama, wote wanaondolewa na wameshapewa sehemu zingine za kuishi.

Lussu anataka kwenda kuhutubia fisi? Si akahutubie kwao kwenye mafisi wengi.
Sema hifadhi ya Dubai ya Wajomba zake Rais wa sasa wa Tanzania.
 
Unatoa Jibu tofauti na Polisi, unamwakilisha nani? IBARA 4 (2) ya mkataba huu wa Kimangungo inasema Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Tukaombe idhini Dubai kwa Mali zetu? Yaani Sasa hata kupita Ngorongoro tukaombe idhini Dubai? Huu ujinga ubaki CCM na Dubai.
Inasikitisha kwa kweli.
 
Kwa hiyo wamasai serikali ya Samia imedhamiria kuwafuta nchini na kuwapoteza mfano wa yule mnyama dinosaur (dinasosi) eliyetoweshwa katika sayari ya dunia?
Ni nani ataniazima machozi niwalilie wanasai?
Yangu nimelia hadi yamekauka.
 
Unatoa Jibu tofauti na Polisi, unamwakilisha nani? IBARA 4 (2) ya mkataba huu wa Kimangungo inasema Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Tukaombe idhini Dubai kwa Mali zetu? Yaani Sasa hata kupita Ngorongoro tukaombe idhini Dubai? Huu ujinga ubaki CCM na Dubai.
Lussu ni mwehu asiye na sera, hajuwi aelekee wapi, anadandia kila basi.

Na wewe nae, mada ngorongoro wewe upo bandarini.

Bandari ndiyo sahau, juzi imetangazwa tenda, kama unaweza kafanye kazi, la huwezi, tulia.

Huu ndiyo ujinga wa Kitanzania.
 
Umeguswa kwenye mstari wa Ikweta.
Nyie mgusane hukohuko mnakofundishana na wale wazee maarufu kwa mambo hayo. Mpaka umoja wa Mataifa inawajuwa kama inavyoijuwa Ngorongoro. Unataka ushahidi?

Nafahamu sana, kwenu kawaida kuguswa guswa na kuchezewa huko "ikweta", kwetu hata mikono hatugusani kijinga. Kumbuka hilo.

Huyo mwehu kuna habari zake tunazo, kuwa kishaanza kumkorofisha Mbowe, anadai na yeye mgao wake kwa nguvu.

Mbowe kasema hataki kuonana nae kabisa, jiulize kwanini? Huyo ukimuona alipo Mbowe ujuwe kajipeleka tu.
 
Nyie mgusane hukohuko mnakofundishana na wale wazee maarufu ka mambo hayo. Mpaka umoja wa Mataifa inawajuwa kama inavyoijuwa Ngorongoro. Unataka ushahidi?

Nafahamu sana, kwenu kawaida kuguswa guswa na kuchezewa huko "ikweta", kwetu hata mikono hatugusani kijinga. Kumbuka hilo.

Huyo mwehu kuna habari zake tunazo, kuwa kishaanza kumkorofisha Mbowe, anadai na yeye mgao wake kwa nguvu.

Mbowe kasema hataki kuonana nae kabisa, jiulize kwanini? Huyo ukimuona alipo Mbowe ujuwe kajipeleka tu.
Kama kwenu Zanzibar ambako hata baadhi ya maaskari wa kiume wanaenjoy hayo mambo.
 
Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho!

Tundu Lissu
Mtandao wa X

Tunapenda kukufahamisha kuwa barua yako tajwa tumeipokea ikiwa na maudhui ya kufanya vikao vya ndani na mikutano ya hadhara maeneo ya kata 3 zizopo tarafa ya Loliondo na kata 3 zilizopo tarafa ya Ngorongoro.

Hata hivyo tarafa ya Ngorongoro ni eneo la Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro na kwamba kuingia na kutoka eneo hilo ni sharti kufuata taratibu zinazosimamia eneo hilo (kupata kiball kutoka Mamlaka ya Ngorongoro).

Aidha kwa upande wa tarafa ya Loliondo kulingana na tarifa mbaimbali tulizo nazo haziruhusu kufanya shughuli za kisiasa hasa mikutano ya hadhara.

Kutokana na sababu hizo hapo juu, tunaelekeza kwamba usitishe mikutano hiyo kwa sasa hadi wakati mwingine ambao utakuwa mwafaka kwa ustawi wa amani na utulivu wa wilaya yetu.
Maudhui makuu ya haja yako ni;

1. Polisi kumzuia/kumgomea Tundu Lissu (CHADEMA) kufanya mikutano kwenye maeneo ya kata zilizotajwa huko Loliondo & Ngorongoro.

Sawa, barua ya polisi ni hiyo☝️☝️☝️

2. Tundu Lissu/CHADEMA kutokukubaliana na polisi na kusema kuwa lazima watakwenda maana eneo hilo sio gereza..

Sawa, lakini kauli au barua ya CHADEMA kuthibitisha hili iko wapi?
 
Screenshot_20230907-141923.jpg
 
Write your reply...lisu ngoro2 kunann? Anataka utalii?C wamruhusu kwa vibali ya utalii wa ndani?C kila jambo siasa.kule hakuna watu wameambiwa waende msomera fulstop.
 
Kama Ujumbe wa EU ulikataliwa sina hakika kama Mhe. Lissu na Chama chake wakakubaliwa kwenda huko Ngorongoro.

Inaonekana kuna mambo Serikali inajaribu kuyaficha wasijulikane.

Ndiyo maana hata Mbunge wao nilisoma hapa JamiiForums kuwa alitoweka asijulikane alipo kwa muda wa siku kadhaa.

I smell fishy
✍️Wachawi (mawakala wa shetani) hutenda kazi zao za kichawi ili kutimiza makusudi yao maovu kwa kutumia njia tatu ambazo ni;

1. Kughilibu (manipulate)

2. Kutawala kwa kutumia mabavu (dominate)

3. Kutishia au kutia hofu (intimidate)

Hawa kina Samia Suluhu na CCM yake ni mawakala wa shetani na wachawi hasa.!

✍️Kinachoanza ni indimidation sambamba na manipulation kwa raia na wakishavuka hatua hii, wanawakalia na kuwa - dominate watakavyo wote waliowaroga..

✍️Mtu akifanikiwa kukataa kuwa intimidated tu, basi ghiliba na kumtawala na kumwendesha mtu wa namna hii maarufu kama "jasiri" hazitafanikiwa..!

✍️Tundu Lissu hatishiwagi. Na nawaambia huko Loliondo na Ngorongoro atakwenda na kumzuia ndiyo itakuwa mbaya zaidi kuliko wakiacha CHADEMA waendelee na kazi yao kama walivyofanya maeneo mengine yote..

Let's wait and see..
 
Back
Top Bottom