Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

Huu mkutano wa Ngorongoro na Loliondo ni wa kimkakati...serikali itumie busara na sio nguvu.

Wajue tu Lissu haogopi kifo ni mfufuka hivyo hana cha kupoteza.

Huyu simba hazuiliki...wakileta ujinga wasubirie kisu toka EU
Huyu mwamba alishaivuka hatua ya kutishwa miaka mingi ili mradi anachokifanya au kukiendea hakivunji sheria...

Na kwa hili, serikali inakosea sana.

Kama walikuwa hawataki mikutano ya siasa ya vyama vya siasa, wangeipiga marufuku kote nchini kama alivyofanya mwendazake Magufuli..

Sasa kote huko CHADEMA imefanya mikutano salama na kwa amani, iweje Loliondo na Ngorongoro iwe shida? Kuna nini kinachofichwa huko kiasi cha wanasiasa wasiende kuonana na wananchi wa huko na kuzungumza nao? Au Loliondo na Ngorongoro sio Tanzania na CHADEMA haipo huko?

Mimi sioni sababu za kumzuia. Kama kuna siri za Rais Samia Suluhu Hassan huko, basi lazima ziwekwe wazi sasa!!

Tundu Lissu na CHADEMA msikubali kuwa indimidated. Kama Loliondo na Ngorongoro ndiko kunakopaswa kufunguliwa lile box lenye siri ya ukombozi (Pandora box), basi liende likafunguliwe huko..
 
Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho!

Tundu Lissu
Mtandao wa X
Tunapenda kukufahamisha kuwa barua yako tajwa tumeipokea ikiwa na maudhui ya kufanya vikao vya ndani na mikutano ya hadhara maeneo ya kata 3 zizopo tarafa ya Loliondo na kata 3 zilizopo tarafa ya Ngorongoro.

Hata hivyo tarafa ya Ngorongoro ni eneo la Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro na kwamba kuingia na kutoka eneo hilo ni sharti kufuata taratibu zinazosimamia eneo hilo (kupata kiball kutoka Mamlaka ya Ngorongoro).

Aidha kwa upande wa tarafa ya Loliondo kulingana na tarifa mbaimbali tulizo nazo haziruhusu kufanya shughuli za kisiasa hasa mikutano ya hadhara.

Kutokana na sababu hizo hapo juu, tunaelekeza kwamba usitishe mikutano hiyo kwa sasa hadi wakati mwingine ambao utakuwa mwafaka kwa ustawi wa amani na utulivu wa wilaya yetu.
Huyu soon atapandishwa Cheo ameonesha ujasiri
 
Huu mkutano wa Ngorongoro na Loliondo ni wa kimkakati...serikali itumie busara na sio nguvu.

Wajue tu Lissu haogopi kifo ni mfufuka hivyo hana cha kupoteza.

Huyu simba hazuiliki...wakileta ujinga wasubirie kisu toka EU
Mbona alikimbia baada ya uchaguzi!?
 
Huu mkutano wa Ngorongoro na Loliondo ni wa kimkakati...serikali itumie busara na sio nguvu.

Wajue tu Lissu haogopi kifo ni mfufuka hivyo hana cha kupoteza.

Huyu simba hazuiliki...wakileta ujinga wasubirie kisu toka EU
Lissu kafanya mikutano robo nzima ya Nchi.
Loliondo kunani?

Au tukate Visa?
 
Write your reply...lisu ngoro2 kunann? Anataka utalii?C wamruhusu kwa vibali ya utalii wa ndani?C kila jambo siasa.kule hakuna watu wameambiwa waende msomera fulstop.
'kule hakuna watu,wameambiwa waende Msomera'.Yaani hakuna watu,halafu wameambiwa waende Msomera... Bilashaka Tundu,anajua kua kuna watu,na aachwe aende.
 
Kama Ujumbe wa EU ulikataliwa sina hakika kama Mhe. Lissu na Chama chake wakakubaliwa kwenda huko Ngorongoro.

Inaonekana kuna mambo Serikali inajaribu kuyaficha wasijulikane.

Ndiyo maana hata Mbunge wao nilisoma hapa JamiiForums kuwa alitoweka asijulikane alipo kwa muda wa siku kadhaa.

I smell fishy
Nawaza isije kuwa kun Meckanzie wa kenys huko ngoro
 
MH tundu lissu ashasema anaenda kisheria polisi ni kuwaataarifu tu, wagome au wakatae ni maamuzi yao, natamani kua kama lissu yani haki yake anaipigania haombi anaichukua hii ni tofauti karibu asilimia 99.99 ya watz tunaomba haki zetu tubadilike kwakweli.
Unadhani Ngorongoro ni kama kwenda Mbagala...!! Pale getini atapitaje? Akipita kinyemela atachukuliwa kuwa ni jangili... asubiri 2025. Ngorongoro ni eneo linaloiletea nchi fedha nyingi za kigeni na halipaswi kuvurugwa na siasa za kipumbavu za kina Lissu na genge lake. Kama yeye ni shujaa aende akafanyie mkutano wake pale Lugalo au Monduli TMA. Akijifanya kichwa ngumu hakuna rangi ataacha kuona kwa askari wa Ngorongoro... Askari wa kule wafanye kazi ngumu ya kulinda wanyama na bado wapoteze muda na mtu msumbufu kama Lissu?
 
Walimwambia akitoka Ubelgiji akitua JNIA wanamalizana naye pale pale aisee niliogopa sana hadi nikasema bora jamaa asirudi.... Mshkaji alirudi mchana kweupe mapokezi yalijaa dar nzima.
 
Unadhani Ngorongoro ni kama kwenda Mbagala...!! Pale getini atapitaje? Akipita kinyemela atachukuliwa kuwa ni jangili... asubiri 2025. Ngorongoro ni eneo linaloiletea nchi fedha nyingi za kigeni na halipaswi kuvurugwa na siasa za kipumbavu za kina Lissu na genge lake. Kama yeye ni shujaa aende akafanyie mkutano wake pale Lugalo au Monduli TMA. Akijifanya kichwa ngumu hakuna rangi ataacha kuona kwa askari wa Ngorongoro... Askari wa kule wafanye kazi ngumu ya kulinda wanyama na bado wapoteze muda na mtu msumbufu kama Lissu?
Kwa nyie mafia Paka anathamani kuliko binadamu .... hapa unawakilisha roho ya mauwaji.....ushetani
 
Back
Top Bottom