Ngisibara
JF-Expert Member
- Jan 2, 2009
- 3,387
- 2,245
Loliondo nako ni kitalu cha kuwinda, nani alimwambia waliokodisha hicho kitalu na wageni wao wanaokuja kuwinda kuwa wanataka siasa?
Huyo mwehu anatafuta kiki kijinga.
Sio wewe ndie mwehu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loliondo nako ni kitalu cha kuwinda, nani alimwambia waliokodisha hicho kitalu na wageni wao wanaokuja kuwinda kuwa wanataka siasa?
Huyo mwehu anatafuta kiki kijinga.
Anazizima wapi?. Alizizima Magufuli lakini uchaguzi ulipofika ilibidi aibe kura sembuse mama Dulla ambaye mafuta yamemshindaa.Kila kona Dkt Samia! Tanzania inazizima kwa sababu ya uwezo wake mkubwa wa kuongoza. 2025 ni yeye tu na wala hatuhutaji kupiga kampeni kubwa maana anakubalika sana!
Wewe ndio unapotosha. Hawakumshangilia huyu mama Dulla Bali walishangilia mbaya wao kuondoka baada ya kuwaibia Kura 2020Hatari wapu mkuu!, Si mlishangilia wakati ule anapewa kijiti kuwa mtakula maziwa na Asali?.
Mkachinja na kunywa kwa furaha huku mkisema huyu ndiye yule alikuwa anasubiliwa kuiponya nchi, AU?
NCAA hawawezi kuruhusu upuuzi wa kwenda hifadhini na kuzua taharuki.Kwani Lissu anaenda kutembelea hifadhi au kufanya mikutano ya siasa. Kuna shida Ngorongoro.
Ndio nikasema Kama mwehu anaweza kupata distinction Masters ya sheria Warwick basi hakuna mzima. Warwick hawaendi vilaza.Sijali kapata nini wapi au wapi, hiyo siyo dawa ya kutokuwa mwehu.
Tena hapo umethibitisha kabisa kuwa huyo munyampaa ni mwehu.
Wewe ndo mjinga usiyejua kuwa Ngorongoro watu huingia kwa kibali. Hata magari yanayopita kwenda Mara lazima yapate kibali pale getini. Na ikifika saa 12 jioni hakuna kuingia wala kutoka NCAA. Wewe economist wa Buza nadhani umenielewa.Yeye anatembelea wananchi sio wanyama. Halafu huu ujinga wa kuwekeana mipaka ya wapi uende na wapi usipende Tanzania umeanza lini?
Upuuzi gani?. Lissu kafanya mikutano robo tatu ya nchi nzima, Kuna shida gani akifika Ngorongoro?. Ngorongoro wapo wananchi. Ndio maana tunakataa mikataba ya kijinga. Miaka yote Ngorongoro watu walikiwa wanaishi kwa amani ila Sasa njaa ya pesa mnauza ardhi yenu na kuwaswaga wamasai Kama mbuzi.NCAA hawawezi kuruhusu upuuzi wa kwenda hifadhini na kuzua taharuki.
😵🤯👽👻Aidha kwa upande wa tarafa ya Loliondo kulingana na tarifa mbaimbali tulizo nazo haziruhusu kufanya shughuli za kisiasa hasa mikutano ya hadhara.
CCM hatujawahi iba kura. Watanzania wanaipenda CCM na Rais Dkt Samia anakubalika sana. Kila kona ya Tanzania ni Dkt Samia. Cheki mabango yalivyoenea, ni Dkt Samia tu 2025.Anazizima wapi?. Alizizima Magufuli lakini uchaguzi ulipofika ilibidi aibe kura sembuse mama Dulla ambaye mafuta yamemshindaa.
Pumbavu mkubwa wewe mjaa laana. Nani ambaye hajui Kama Ngorongoro unaingia kwa kibali?. Unajiona much know kumbe boya tu. Bakia na Samiah again wakati hata mafuta yamewashindaWewe ndo mjinga usiyejua kuwa Ngorongoro watu huingia kwa kibali. Hata magari yanayopita kwenda Mara lazima yapate kibali pale getini. Na ikifika saa 12 jioni hakuna kuingia wala kutoka NCAA. Wewe economist wa Buza nadhani umenielewa.
Aiseeh!CCM hatujawahi iba kura. Watanzania wanaipenda CCM na Rais Dkt Samia anakubalika sana. Kila kona ya Tanzania ni Dkt Samia. Cheki mabango yalivyoenea, ni Dkt Samia tu 2025.
Uhakika hii kura yako lazima umpigie Dkt Samia 2025!Aiseeh!
Huyu hakawii kukimbilia ubalozini na kusindikizwa kwenda kuungana na familia yake ughaibuni na kutuacha sisi hapa nchini.Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho!
Tundu Lissu
Mtandao wa X
Tunapenda kukufahamisha kuwa barua yako tajwa tumeipokea ikiwa na maudhui ya kufanya vikao vya ndani na mikutano ya hadhara maeneo ya kata 3 zizopo tarafa ya Loliondo na kata 3 zilizopo tarafa ya Ngorongoro.
Hata hivyo tarafa ya Ngorongoro ni eneo la Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro na kwamba kuingia na kutoka eneo hilo ni sharti kufuata taratibu zinazosimamia eneo hilo (kupata kiball kutoka Mamlaka ya Ngorongoro).
Aidha kwa upande wa tarafa ya Loliondo kulingana na tarifa mbaimbali tulizo nazo haziruhusu kufanya shughuli za kisiasa hasa mikutano ya hadhara.
Kutokana na sababu hizo hapo juu, tunaelekeza kwamba usitishe mikutano hiyo kwa sasa hadi wakati mwingine ambao utakuwa mwafaka kwa ustawi wa amani na utulivu wa wilaya yetu.
Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho!
Tundu Lissu
Mtandao wa X
Tunapenda kukufahamisha kuwa barua yako tajwa tumeipokea ikiwa na maudhui ya kufanya vikao vya ndani na mikutano ya hadhara maeneo ya kata 3 zizopo tarafa ya Loliondo na kata 3 zilizopo tarafa ya Ngorongoro.
Hata hivyo tarafa ya Ngorongoro ni eneo la Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro na kwamba kuingia na kutoka eneo hilo ni sharti kufuata taratibu zinazosimamia eneo hilo (kupata kiball kutoka Mamlaka ya Ngorongoro).
Aidha kwa upande wa tarafa ya Loliondo kulingana na tarifa mbaimbali tulizo nazo haziruhusu kufanya shughuli za kisiasa hasa mikutano ya hadhara.
Kutokana na sababu hizo hapo juu, tunaelekeza kwamba usitishe mikutano hiyo kwa sasa hadi wakati mwingine ambao utakuwa mwafaka kwa ustawi wa amani na utulivu wa wilaya yetu.
Mbona hakuna tatizo kabisa. Ni kuomba vibali UAE fastaaaaaPolisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho!
Tundu Lissu
Mtandao wa X
Tunapenda kukufahamisha kuwa barua yako tajwa tumeipokea ikiwa na maudhui ya kufanya vikao vya ndani na mikutano ya hadhara maeneo ya kata 3 zizopo tarafa ya Loliondo na kata 3 zilizopo tarafa ya Ngorongoro.
Hata hivyo tarafa ya Ngorongoro ni eneo la Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro na kwamba kuingia na kutoka eneo hilo ni sharti kufuata taratibu zinazosimamia eneo hilo (kupata kiball kutoka Mamlaka ya Ngorongoro).
Aidha kwa upande wa tarafa ya Loliondo kulingana na tarifa mbaimbali tulizo nazo haziruhusu kufanya shughuli za kisiasa hasa mikutano ya hadhara.
Kutokana na sababu hizo hapo juu, tunaelekeza kwamba usitishe mikutano hiyo kwa sasa hadi wakati mwingine ambao utakuwa mwafaka kwa ustawi wa amani na utulivu wa wilaya yetu.
Kwani wale wazee wanafanya kazi ndogo kueneza huo ushetani?Kama kwenu Zanzibar ambako hata baadhi ya maaskari wa kiume wanaenjoy hayo mambo.
Ni sahihi Mkuu, inaweza kuwa tiketi yake ya kumwondoa.Huo ujumbe ndio kitanzi chake 2025 ogopa sana hao pua ndefu,wakiamua jambo lao Kwa kigezo Cha kutaka kuwalinda Wamasai na sijui haki za binadamu ndio swaga zao,mziki wake Waarabu hatawaona.
Hatari wapu mkuu!, Si mlishangilia wakati ule anapewa kijiti kuwa mtakula maziwa na Asali?.Huyu Mama ni hatari sana.
Familia bado anaishi nayo? Mke alimstukia kuwa ana mambo yaleee, akamtema zamani.Huyu hakawii kukimbilia ubalozini na kusindikizwa kwenda kuungana na familia yake ughaibuni na kutuacha sisi hapa nchini.