Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

Kila kona Dkt Samia! Tanzania inazizima kwa sababu ya uwezo wake mkubwa wa kuongoza. 2025 ni yeye tu na wala hatuhutaji kupiga kampeni kubwa maana anakubalika sana!
Anazizima wapi?. Alizizima Magufuli lakini uchaguzi ulipofika ilibidi aibe kura sembuse mama Dulla ambaye mafuta yamemshindaa.
 
Hatari wapu mkuu!, Si mlishangilia wakati ule anapewa kijiti kuwa mtakula maziwa na Asali?.

Mkachinja na kunywa kwa furaha huku mkisema huyu ndiye yule alikuwa anasubiliwa kuiponya nchi, AU?
Wewe ndio unapotosha. Hawakumshangilia huyu mama Dulla Bali walishangilia mbaya wao kuondoka baada ya kuwaibia Kura 2020
 
Sijali kapata nini wapi au wapi, hiyo siyo dawa ya kutokuwa mwehu.

Tena hapo umethibitisha kabisa kuwa huyo munyampaa ni mwehu.
Ndio nikasema Kama mwehu anaweza kupata distinction Masters ya sheria Warwick basi hakuna mzima. Warwick hawaendi vilaza.
 
Yeye anatembelea wananchi sio wanyama. Halafu huu ujinga wa kuwekeana mipaka ya wapi uende na wapi usipende Tanzania umeanza lini?
Wewe ndo mjinga usiyejua kuwa Ngorongoro watu huingia kwa kibali. Hata magari yanayopita kwenda Mara lazima yapate kibali pale getini. Na ikifika saa 12 jioni hakuna kuingia wala kutoka NCAA. Wewe economist wa Buza nadhani umenielewa.
 
NCAA hawawezi kuruhusu upuuzi wa kwenda hifadhini na kuzua taharuki.
Upuuzi gani?. Lissu kafanya mikutano robo tatu ya nchi nzima, Kuna shida gani akifika Ngorongoro?. Ngorongoro wapo wananchi. Ndio maana tunakataa mikataba ya kijinga. Miaka yote Ngorongoro watu walikiwa wanaishi kwa amani ila Sasa njaa ya pesa mnauza ardhi yenu na kuwaswaga wamasai Kama mbuzi.
 
Aidha kwa upande wa tarafa ya Loliondo kulingana na tarifa mbaimbali tulizo nazo haziruhusu kufanya shughuli za kisiasa hasa mikutano ya hadhara.
😵🤯👽👻
Taarifa mbalimbali. Mbaaali na Taarifa za Uhakika za Kuvunjika kwa amani au Kushindwa kuwapatia Ulinzi!

Tanganyika imegawiwa kwa Waarabu. Hili Lisikubalike.
 
Anazizima wapi?. Alizizima Magufuli lakini uchaguzi ulipofika ilibidi aibe kura sembuse mama Dulla ambaye mafuta yamemshindaa.
CCM hatujawahi iba kura. Watanzania wanaipenda CCM na Rais Dkt Samia anakubalika sana. Kila kona ya Tanzania ni Dkt Samia. Cheki mabango yalivyoenea, ni Dkt Samia tu 2025.
 
Ngorongoro kuna zaidi ya wanyama hao tunaodhani ndio kila kitu. Huo ukanda kuanzia Lingido ni mali sana.
 
Wewe ndo mjinga usiyejua kuwa Ngorongoro watu huingia kwa kibali. Hata magari yanayopita kwenda Mara lazima yapate kibali pale getini. Na ikifika saa 12 jioni hakuna kuingia wala kutoka NCAA. Wewe economist wa Buza nadhani umenielewa.
Pumbavu mkubwa wewe mjaa laana. Nani ambaye hajui Kama Ngorongoro unaingia kwa kibali?. Unajiona much know kumbe boya tu. Bakia na Samiah again wakati hata mafuta yamewashinda
 
Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho!

Tundu Lissu
Mtandao wa X
Tunapenda kukufahamisha kuwa barua yako tajwa tumeipokea ikiwa na maudhui ya kufanya vikao vya ndani na mikutano ya hadhara maeneo ya kata 3 zizopo tarafa ya Loliondo na kata 3 zilizopo tarafa ya Ngorongoro.

Hata hivyo tarafa ya Ngorongoro ni eneo la Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro na kwamba kuingia na kutoka eneo hilo ni sharti kufuata taratibu zinazosimamia eneo hilo (kupata kiball kutoka Mamlaka ya Ngorongoro).

Aidha kwa upande wa tarafa ya Loliondo kulingana na tarifa mbaimbali tulizo nazo haziruhusu kufanya shughuli za kisiasa hasa mikutano ya hadhara.

Kutokana na sababu hizo hapo juu, tunaelekeza kwamba usitishe mikutano hiyo kwa sasa hadi wakati mwingine ambao utakuwa mwafaka kwa ustawi wa amani na utulivu wa wilaya yetu.
Huyu hakawii kukimbilia ubalozini na kusindikizwa kwenda kuungana na familia yake ughaibuni na kutuacha sisi hapa nchini.
 
Mbona hakuna tatizo kabisa. Ni kuomba vibali UAE fastaaaaa
 
Kama kwenu Zanzibar ambako hata baadhi ya maaskari wa kiume wanaenjoy hayo mambo.
Kwani wale wazee wanafanya kazi ndogo kueneza huo ushetani?

Tazama hii, shule nzima wamelawiti na kulawitiwa na wanafunzi wote:

Alikuwa padri wangu na rafiki yangu. Ndipo nilipogundua kuwa ni mchumba​

Jinsi kashfa ya Father Kit Cunningham imemfanya Peter Stanford kuhoji kanisa lake na imani yake...

Soma zaidi: He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile

Vipi Lussu, hakusoma seminari?
 
Huo ujumbe ndio kitanzi chake 2025 ogopa sana hao pua ndefu,wakiamua jambo lao Kwa kigezo Cha kutaka kuwalinda Wamasai na sijui haki za binadamu ndio swaga zao,mziki wake Waarabu hatawaona.
Ni sahihi Mkuu, inaweza kuwa tiketi yake ya kumwondoa.

Ni muhimu awe makini
 
Huyu Mama ni hatari sana.
Hatari wapu mkuu!, Si mlishangilia wakati ule anapewa kijiti kuwa mtakula maziwa na Asali?.

Mkachinja na kunywa kwa furaha huku mkisema huyu ndiye yule alikuwa anasubiliwa kuiponya nchi, AU?
 
Huyu hakawii kukimbilia ubalozini na kusindikizwa kwenda kuungana na familia yake ughaibuni na kutuacha sisi hapa nchini.
Familia bado anaishi nayo? Mke alimstukia kuwa ana mambo yaleee, akamtema zamani.
 
Back
Top Bottom