Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Kwamba ndio wamtengenezee zengwe la madawa ya kulevya au ! Ebu wasimamie haki na kuacha siasa za kukomoana na kudhuliana.
Aidha watwana wafute kabisa mfumo wa vyama vingi nchini ili kuepuka uwepo wa mgongano wa mawazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washamdunga sindano za madawa halafu wampe kesi ya kutumia madawa ya kulevya sio?
 
Aliyekwambia ni nani?Polisi au porojo za twitter?
 
Ha ha ha,na lisu alivyo mjanja kakataa kupima,sasa sijui watamkamata kwa nguvu kuukamua mkojo au vipi?,

hi senema imeanza kunivutia,nilikuwa naipita kwa mbali lakini sasa ntaifuatilia
 
Lissu angepuuzwa tu, akikomaliwa hivyo ndo jamii inazidi kupay attention juu yake zaidi.

Sijaona ukubwa wa threat anayoweza kusababisha!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo humo kwenye mkojo wanachunguza uchochezi sio?
 
Bongo akili za wakemia zipo hovyo sana uchochezi na mkojo wapi na wapi si wakamatwe watanzania wote basi wapimwe mkojo akili za kijima sana maendeleo mtayasikia tuu..
 
Duh siasa za nchi hii sijui zitatufikisha wapi maana naona hatari iliyoko mbele yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…