MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
Kwa hiyo walitaka wapime mkojo halafu wamchanganyie na madawa ya kulevya ili waje wampakazie kuwa anatumia madawa ya kulevyaMh. Lissu akataa kupimwa mkojo baada ya kufikishwa kwa mkemia mkuu wa serikali kwani kipimo hicho hakihusiani kabisa na tuhuma za uchochezi zinazomkabili.
Na kuhusu upekuzi mpaka sasa bado unaendelea na karibia wanafika mwisho na Rais wa TLS yuko katika hali mzuri kabisa ( kwa mujibu wa mkewe).
Tuzidi kumwombea na kumtia nguvu.
My take: hivi jaman hawa watu wako vizuri kabisa kichwan?
Sasa wanataka wampime mkojo for what?
[HASHTAG]#UKUKU[/HASHTAG]
Ngada mkuu!!Mh. Lissu akataa kupimwa mkojo baada ya kufikishwa kwa mkemia mkuu wa serikali kwani kipimo hicho hakihusiani kabisa na tuhuma za uchochezi zinazomkabili.
Na kuhusu upekuzi mpaka sasa bado unaendelea na karibia wanafika mwisho na Rais wa TLS yuko katika hali mzuri kabisa ( kwa mujibu wa mkewe).
Tuzidi kumwombea na kumtia nguvu.
My take: hivi jaman hawa watu wako vizuri kabisa kichwan?
Sasa wanataka wampime mkojo for what?
[HASHTAG]#UKUKU[/HASHTAG]
Dawa yake ni kumuacha kama wiki hivi lazima arosto ipandena je akiwapa mkojo wake afu waubadilishe na wa kwako wewe mtumia unga huoni matokeo yatakua tofauti?
Mlevi wa katiba na sheria za nchi, akili kubwa inapopambana na akili ndogo iliyoshika dola manyanyaso ndiyo njia wanayoitumia
Hahahaha labda machafuko ya mbege...mbona hamuingii mtaani?Hawa watu kuna kitu watagusa kitaleta machafuko makubwa sana kuzidi yale ya Arab spring
Hakuna machafuko hapa nchini labda machafuko ndani ya JF mkuu!!Hawa watu kuna kitu watagusa kitaleta machafuko makubwa sana kuzidi yale ya Arab spring
Wange mpitisha na muhimbili wakacheck damu yake maana nawezekana ana group la damu ya uchocheziWamefanya jambo la maana, hawataki kumuhukumu bila kujua status ya afya yake. Utapata wapi jeshi lenye upendo na raia wake kama hili. Huwezi kupata kwingine hisipokuwa Tanzania tu!
Kwani ukisoma na mtu ndo inakuwaje???Nimesoma na Tundu Lissu sikuwahi muona hata akionja pombe labda kama kajifunza ukubwani
Ndio akili ya watawala wetu haoKwa hiyo walitaka wapime mkojo halafu wamchanganyie na madawa ya kulevya ili waje wampakazie kuwa anatumia madawa ya kulevya
Hiyo lab ya Mkemia mkuu kwanza haiko accredited ............ Results kama hizo hazina credibility kwenye mahakama yeyote!!Kwa hiyo walitaka wapime mkojo halafu wamchanganyie na madawa ya kulevya ili waje wampakazie kuwa anatumia madawa ya kulevya
Leo ndiyo nimeamini bila shaka yoyote kuwa polisi wanatumia nguvu nyingi akili kiduchuMhe. Tundu Lissu akataa Kupimwa mkojo baada ya kifikishwa kwa mkemia mkuu wa serikali kwani kipimo hicho hakihusiani kabisa na tuhuma za uchochezi zinazomkabili
Na uchochezi unapatikana kwenye mkojo wa mtu ....Uchochezi huleta uvunjifu wa amani. Uvunjifu wa amani hufukuza wawekezaji. Bila wawekezaji hakuna viwanda. Are we together?
haaahahahaDawa yake ni kumuacha kama wiki hivi lazima arosto ipande
Ngada inategemea unavyonuia[emoji23][emoji23] wameona uropokaji sio wa kiwango hicho
navyojua ngada unakua uko cool sana
hio ngada ya wapi mkuu
Maamuzi kutoka Juu