MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
Kwa hiyo walitaka wapime mkojo halafu wamchanganyie na madawa ya kulevya ili waje wampakazie kuwa anatumia madawa ya kulevyaMh. Lissu akataa kupimwa mkojo baada ya kufikishwa kwa mkemia mkuu wa serikali kwani kipimo hicho hakihusiani kabisa na tuhuma za uchochezi zinazomkabili.
Na kuhusu upekuzi mpaka sasa bado unaendelea na karibia wanafika mwisho na Rais wa TLS yuko katika hali mzuri kabisa ( kwa mujibu wa mkewe).
Tuzidi kumwombea na kumtia nguvu.
My take: hivi jaman hawa watu wako vizuri kabisa kichwan?
Sasa wanataka wampime mkojo for what?
[HASHTAG]#UKUKU[/HASHTAG]