Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'

Derick unagombea mwanamke wa kilabuni kwa bastola.umemkuta kilabuni.yaani unataka kumuua mwenzio kwaajili ya mwanamke wa kilabuni? Ukizubaa SHETANI huwa anaondoka na fikra zote.saa hizi ndiyo amemrudishia Derick fikra zake
Derick hana akili kabisa, kweli aziniye na mwanamke hana akili, Derick hata ukitoka huna akili na kwenye vikao usije
 
Mbeleko imekata?
 
Hao Jamaa ni washamba sana, wazee wa unanijua mie nani, huyo alitakiwa anyooshwe mtaani tu
Huyu Derrick sema alikutana na jamaa yuko vyombo. Kwa jinsi alivyovyokuwa anamjia huyo dogo hana weledi wowote kwenye mapigano ya ana kwa ana angekutana na vijana wa Mjini akina Extrovert angepigwa Keleb za maana hata bastola asijue iko wapi.
 
Kwa hiyo kwa sasa ukiwa na demu, dada au mke pisi ni hatari kwenda naye Club, maana waweza kutana huko na wahuni wa TiSS ambao wapo tayari kuua ili tu wakat#mb£ kwa lazima?!!

Kazi ya kuteka na kuua watu ishawaharibu akili
 
Toka asubuhi baada ya kuona hii taarifa ,nimekuwa naulizia huko kwa kupiga simu kwa wanangy na ndugu zangu wa obey ikiwa wanamjua huyu jamaa kuwa niko tayari kwa pambano ila tutalificha kwa Kodi wasijesema anaharibu image ya taasisi .

Nakuja kugutuka kumbe mamwela wameshamtaiti mwamba ,ila usijali akichomoka ninaye na nitakujulisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…