3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Hata nyundo naye ilikuwa hivyohivyo ila kala mvua ya maisha issue ikishakuwa public mambo yannabadilika bora yaishie gizani huko maana lzm uonyeshe umeisolveHuyu sio mwenzenu nyie mtibuni bwana Julian apone. Mengine muyaacha kama yalivyo.
Ukiona mtu anakunywa sana ili apate furaha au analazimika kutumia gharama kubwa ili apate furaha automatically huyo hana furaha. Anajaribu kuforce tu.Well said, kuna watu hawajui chanzo cha mahangaiko yao…… Wenyewe wanadhani wako timamu.
Hahah ukweli usemwe, jamaa analelewa na Mwanamke wake. Sio mara moja kutishia watu kuwapiga risasi. Kwa ufupi hana cha maana na ni mlevi wa siku zote hapo 1245 na wanakikundi chao kabisa wanajiita walevi kumbe wapuuzi tu.Ningeshangaa nisingekukuta hapa 😜
Unamaanisha na mimi niwashushie kipigo na haka kangumi changu? Si nitararuriwa?Hahah ukweli usemwe, jamaa analelewa na Mwanamke wake. Sio mara moja kutishia watu kuwapiga risasi. Kwa ufupi hana cha maana na ni mlevi wa siku zote hapo 1245 na wanakikundi chao kabisa wanajiita walevi kumbe wapuuzi tu.
Watanzania mmekuwa waoga sana, wakati mwingine hawa wanaojiita watu wa vitengo huko baa mnawashushia vipigo haswa maana % kubwa watu wanaojiita usalama sio usalama.
Kuna mmoja alikuwa kitengo tena alifikia mpk kukaa nyuma ya rais shein wakati ule,alikuwaga na ujingujing sana kuna siku pale uhuru peak alichezea kichapo sana,jamaa alikuwa akilewa uijngujing mwingi na jamaa nlijuwa kabisa mbeleni huko ni anaenda kubaya,huyu mwamba alikujaga kuugua sana hadi akafaHao Jamaa ni washamba sana, wazee wa unanijua mie nani, huyo alitakiwa anyooshwe mtaani tu
Huko sipawezi nisije vunjwa mfupa na akina Derick Lima, kijana kutoka Mara 😃 ukiwa rainbow nistue 🤝Unamaanisha na mimi niwashushie kipigo na haka kangumi changu? Si nitararuriwa?
Haya twende wikiend 12, au “pameshanuka”?
Thanks ,case closed chiefSiyo usalama, ni kibaka tu wa kawaida, anayetamani vyeo visivyo kuwa vyake na anafanya kazi TRA. Hajawahi kwenda kozi hata ya siku moja ya usalma wa Taifa. Mpuuzi tu aliyelewa akaamua kuchukua sheria mkononi kisa malaya wa Massaki.
Pia ana ukaribu na IGP wa sasa Camillius Wambura ( Mjomba wake), hivyo apuuzwe sio mtu wa kitengo.
Bora hata ule bata usepe. Mwili nyumba halafu unamtolea bastora mtu ambae hata kwa ngumi tu unammudu halafu mbaya zaidi ugomvi wenyewe ni wa kugombania mademu na mbaya zaidi na zaidi mademu wenyewe ni malayaIla hii dunia yani mtu mzima unahangaika na madisco na ulevi hadi asubuhi, ndio shida za hela za bure unakuwa kama mwehu tu
Hutu jamaa fala sanaHahah ukweli usemwe, jamaa analelewa na Mwanamke wake. Sio mara moja kutishia watu kuwapiga risasi. Kwa ufupi hana cha maana na ni mlevi wa siku zote hapo 1245 na wanakikundi chao kabisa wanajiita walevi kumbe wapuuzi tu.
Watanzania mmekuwa waoga sana, wakati mwingine hawa wanaojiita watu wa vitengo huko baa mnawashushia vipigo haswa maana % kubwa watu wanaojiita usalama sio usalama.
Mtu aliye ajiriwa na kuvimbishwa kichwa kuwa yeye ni mtu na nusu, haya ni madudu ya kuajiriwa sehemu nyeti.Ila hii dunia yani mtu mzima unahangaika na madisco na ulevi hadi asubuhi, ndio shida za hela za bure unakuwa kama mwehu tu
Nikiwa dar huwa nakunywa sana pale the nook ngano na ndy nyumbani kwao hao hata siku moja sijawahi ona mambo ya kifala fala wakifanyaaaaHahah ukweli usemwe, jamaa analelewa na Mwanamke wake. Sio mara moja kutishia watu kuwapiga risasi. Kwa ufupi hana cha maana na ni mlevi wa siku zote hapo 1245 na wanakikundi chao kabisa wanajiita walevi kumbe wapuuzi tu.
Watanzania mmekuwa waoga sana, wakati mwingine hawa wanaojiita watu wa vitengo huko baa mnawashushia vipigo haswa maana % kubwa watu wanaojiita usalama sio usalama.
Walitakiwa wampige sema ndy hivyo watu wameona chumaBora hata ule bata usepe. Mwili nyumba halafu unamtolea bastora mtu ambae hata kwa ngumi tu unammudu halafu mbaya zaidi ugomvi wenyewe ni wa kugombania mademu na mbaya zaidi na zaidi mademu wenyewe ni malaya
Ulimbukeni.Ila hii dunia yani mtu mzima unahangaika na madisco na ulevi hadi asubuhi, ndio shida za hela za bure unakuwa kama mwehu tu
asije, kwenye vikao hatuhitaji wanaume wasio na akiliKwahiyo brotherhood mmem-cut off?
Derick hana akili, hata angekuwa malaya ndio ugombane na mtu kisa malaya?, sasa ufike mahali umng'ang'anie binti wa watu bila sababu.Humu, as long as kuna neno “mwanamke” atatukanwa tu. Wanawake wa humu tumeshazoea na halitupi shida.
Huyo mdada wa watu kwenye video kuna sehemu ameonekana kumrushia bwana Derrick kingumi cha uoga “kike” katika harakati za kumtetea “kaka yake” lakini hilo haliwezi kuonekana.
Na kuna watu wakeshatengeneza hypothesis za kuwa huyo dada na kaka yake walikuwa wanalipiwa bills na bwana Derrick usiku kucha kwahiyo ni haki ya bwana Derrick alichofanya, Tunao yaongea haya sote hatukuwa 12, wengine tupo “ghalanyangu” ndani ndani huku.
Mostly ya hao jamaa wana inferiority complex.Wengi wanaotumwa kuteka na kuua watu na hata kutisha watu humu JF wako hivyo, Ni Wajinga sana!
Hana akiliHalafu mwanamke wa club
Sawasawa.Huko sipawezi nisije vunjwa mfupa na akina Derick Lima, kijana kutoka Mara 😃 ukiwa rainbow nistue 🤝