Humu, as long as kuna neno “mwanamke” atatukanwa tu. Wanawake wa humu tumeshazoea na halitupi shida.
Huyo mdada wa watu kwenye video kuna sehemu ameonekana kumrushia bwana Derrick kingumi cha uoga “kike” katika harakati za kumtetea “kaka yake” lakini hilo haliwezi kuonekana.
Na kuna watu wakeshatengeneza hypothesis za kuwa huyo dada na kaka yake walikuwa wanalipiwa bills na bwana Derrick usiku kucha kwahiyo ni haki ya bwana Derrick alichofanya, Tunao yaongea haya sote hatukuwa 12, wengine tupo “ghalanyangu” ndani ndani huku.