Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'

Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'

Well said, kuna watu hawajui chanzo cha mahangaiko yao…… Wenyewe wanadhani wako timamu.
Ukiona mtu anakunywa sana ili apate furaha au analazimika kutumia gharama kubwa ili apate furaha automatically huyo hana furaha. Anajaribu kuforce tu.

Sisi wenye furaha tukinywa juicy tu ya miwa tukiwa na familia zetu huku tunacheka na The Comedy baada ya kula Wali wa nazi utatukuta tumejaa furaha tele sio lazima tukeshe kwenye madangulo a.k.a clubs
 
Ningeshangaa nisingekukuta hapa 😜
Hahah ukweli usemwe, jamaa analelewa na Mwanamke wake. Sio mara moja kutishia watu kuwapiga risasi. Kwa ufupi hana cha maana na ni mlevi wa siku zote hapo 1245 na wanakikundi chao kabisa wanajiita walevi kumbe wapuuzi tu.

Watanzania mmekuwa waoga sana, wakati mwingine hawa wanaojiita watu wa vitengo huko baa mnawashushia vipigo haswa maana % kubwa watu wanaojiita usalama sio usalama.
 
Unamaanisha na mimi niwashushie kipigo na haka kangumi changu? Si nitararuriwa?

Haya twende wikiend 12, au “pameshanuka”?
 
Hao Jamaa ni washamba sana, wazee wa unanijua mie nani, huyo alitakiwa anyooshwe mtaani tu
Kuna mmoja alikuwa kitengo tena alifikia mpk kukaa nyuma ya rais shein wakati ule,alikuwaga na ujingujing sana kuna siku pale uhuru peak alichezea kichapo sana,jamaa alikuwa akilewa uijngujing mwingi na jamaa nlijuwa kabisa mbeleni huko ni anaenda kubaya,huyu mwamba alikujaga kuugua sana hadi akafa
Sasa sjui aliyakanyaga kwa wapemba huko

Ova
 
Siyo usalama, ni kibaka tu wa kawaida, anayetamani vyeo visivyo kuwa vyake na anafanya kazi TRA. Hajawahi kwenda kozi hata ya siku moja ya usalma wa Taifa. Mpuuzi tu aliyelewa akaamua kuchukua sheria mkononi kisa malaya wa Massaki.

Pia ana ukaribu na IGP wa sasa Camillius Wambura ( Mjomba wake), hivyo apuuzwe sio mtu wa kitengo.
Thanks ,case closed chief
 
Ila hii dunia yani mtu mzima unahangaika na madisco na ulevi hadi asubuhi, ndio shida za hela za bure unakuwa kama mwehu tu
Bora hata ule bata usepe. Mwili nyumba halafu unamtolea bastora mtu ambae hata kwa ngumi tu unammudu halafu mbaya zaidi ugomvi wenyewe ni wa kugombania mademu na mbaya zaidi na zaidi mademu wenyewe ni malaya
 
Hahah ukweli usemwe, jamaa analelewa na Mwanamke wake. Sio mara moja kutishia watu kuwapiga risasi. Kwa ufupi hana cha maana na ni mlevi wa siku zote hapo 1245 na wanakikundi chao kabisa wanajiita walevi kumbe wapuuzi tu.

Watanzania mmekuwa waoga sana, wakati mwingine hawa wanaojiita watu wa vitengo huko baa mnawashushia vipigo haswa maana % kubwa watu wanaojiita usalama sio usalama.
Hutu jamaa fala sana
Kuna sehemu watu unaenda na maeneo yao wanakuja hawa na hawana ushamba huu sasa mtu kamq huyu anajifanya tiss unaweza kuta mzushi tu na hata akiwa tiss basi wamenuajiri mpumbv

Ova
 
Hahah ukweli usemwe, jamaa analelewa na Mwanamke wake. Sio mara moja kutishia watu kuwapiga risasi. Kwa ufupi hana cha maana na ni mlevi wa siku zote hapo 1245 na wanakikundi chao kabisa wanajiita walevi kumbe wapuuzi tu.

Watanzania mmekuwa waoga sana, wakati mwingine hawa wanaojiita watu wa vitengo huko baa mnawashushia vipigo haswa maana % kubwa watu wanaojiita usalama sio usalama.
Nikiwa dar huwa nakunywa sana pale the nook ngano na ndy nyumbani kwao hao hata siku moja sijawahi ona mambo ya kifala fala wakifanyaaaa

Ova
 
Bora hata ule bata usepe. Mwili nyumba halafu unamtolea bastora mtu ambae hata kwa ngumi tu unammudu halafu mbaya zaidi ugomvi wenyewe ni wa kugombania mademu na mbaya zaidi na zaidi mademu wenyewe ni malaya
Walitakiwa wampige sema ndy hivyo watu wameona chuma

Ova
 
Humu, as long as kuna neno “mwanamke” atatukanwa tu. Wanawake wa humu tumeshazoea na halitupi shida.

Huyo mdada wa watu kwenye video kuna sehemu ameonekana kumrushia bwana Derrick kingumi cha uoga “kike” katika harakati za kumtetea “kaka yake” lakini hilo haliwezi kuonekana.

Na kuna watu wakeshatengeneza hypothesis za kuwa huyo dada na kaka yake walikuwa wanalipiwa bills na bwana Derrick usiku kucha kwahiyo ni haki ya bwana Derrick alichofanya, Tunao yaongea haya sote hatukuwa 12, wengine tupo “ghalanyangu” ndani ndani huku.
Derick hana akili, hata angekuwa malaya ndio ugombane na mtu kisa malaya?, sasa ufike mahali umng'ang'anie binti wa watu bila sababu.

Nasema hivi Derick hata ukitoka huna akili kabisa, mama yako kapata hasara kubwa, na kwenye kikao usije unafaa kufungwa jiwe na kutupwa baharini
 
Back
Top Bottom