Uchaguzi 2020 Polisi waondoa kizuizi alichowekewa Tundu Lissu Kiluvya. Asema anaendelea na safari yake

Uchaguzi 2020 Polisi waondoa kizuizi alichowekewa Tundu Lissu Kiluvya. Asema anaendelea na safari yake

Polisi wapesi tu.Lissu alisema naomba wananchi waje watuunge mkono hapa tukeshe .Polisi wakaona isiwe shida
Kuanzia saa nane mpaka usiku? Nafikiri kama akili zake zinafanya kazi,atakuwa amegundua kuwa swala la kuwaingiza watz barabarani haliwezi kuwa jepesi kama alivyokuwa analichukulia.
 
Upinzani wa bongo|Tanzania bwana!.

Ukiachiwa huru|ukipewa haki yako uongozi unakua umelegea..Haha.

Sawa,Endeleeni kuvunja sheria tu kwa kutafuta political violence.

Itafika mahali itabidi kila mtu mwenye madaraka atimize wajibu wake ipasavyo.
crap
 
Suala la akili ndogo tu. Polisi wanatumia nguvu bila sababu za msingi.
Kesho tena akileta ujinga wanambana anakaa mpaka jioni
Labda nyumbani kwa shemeji yako
Daresalam kuna wapiga kura milioni kama 3 sasa nyie hapo manategemea ngapi?
Kanda ya ziwa usitegemee wao hupenda shangwe ila ukiondoka wanaenda na mambo yao
 
Pole zake watz siyo wa mchezo mchezo leo wamemwache pale Kiluvya pekee yake na kikundi chake masaa zaidi ya 9 amepigwa na jua na mbu. Nafikiri atakuwa amewatambua vizuri na bado tarehe 28/10/2020.
So what? Shut up
 
Uchaguzi ulishaisha tunasubiri Matokeo yatangazwe rasmi hadharani

Kinachoendelea ni vituko na mbwembwe za walioshindwa na hiyo ndiyo Raha ya demokrasia ya Tanzania

Ni Jambo la busara Sana "kumpa Ushindi" aliyeshindwa yeye na Wafuasi wake ili kuwatia moyo na kuhakikisha maisha yanendelea

Hongereni sana Chadema kwa Ushindi Mkubwa wa leo
 
Kesho tena akileta ujinga wanambana anakaa mpaka jioni

Daresalam kuna wapiga kura milioni kama 3 sasa nyie hapo manategemea ngapi?
Kanda ya ziwa usitegemee wao hupenda shangwe ila ukiondoka wanaenda na mambo yao
Ujinga unao wewe endelea kupanga mipango haramu ya kumzuia kishamba shamba mkizani mnamkomoa kumbe kumbe mnamfanyia promo zaidi.
 
Upinzani wa bongo|Tanzania bwana!.

Ukiachiwa huru|ukipewa haki yako uongozi unakua umelegea..Haha.

Sawa,Endeleeni kuvunja sheria tu kwa kutafuta political violence.

Itafika mahali itabidi kila mtu mwenye madaraka atimize wajibu wake ipasavyo.
Wamevunja sheria gani??
 
Nchi hii sasa inaelekea kwenye ukombozi kamili, baada ya upinzani kumpata mgombea Urais ambaye haswa ndiye anayestahili kugombea nafasi hiyo kwa asilimia 100

Hivi hamuoni kuwa nyiye Polisi ndiyo mmejidharirisha kupita kiasi?

Hivi mnawezaje kumzuia Tundu Lissu, kwa sababu za kipuuzi kiasi hicho na hatimaye nyinyi wenyewe tena mnasalimu amri na kumruhusu huyu shujaa wa Taifa hili hivi sasa?
 
Ujinga unao wewe endelea kupanga mipango haramu ya kumzuia kishamba shamba mkizani mnamkomoa kumbe kumbe mnamfanyia promo zaidi.
Promo gani ni wapumnavu walwale amabo kila siku mpo nae ndo mnaongezeka, lakini mtu na akiri yake hana mda nae.
 
Back
Top Bottom