Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wachana na mgonjwa wa moyo huyoUnaongea nn ww?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachana na mgonjwa wa moyo huyoUnaongea nn ww?
Kuanzia saa nane mpaka usiku? Nafikiri kama akili zake zinafanya kazi,atakuwa amegundua kuwa swala la kuwaingiza watz barabarani haliwezi kuwa jepesi kama alivyokuwa analichukulia.Polisi wapesi tu.Lissu alisema naomba wananchi waje watuunge mkono hapa tukeshe .Polisi wakaona isiwe shida
crapUpinzani wa bongo|Tanzania bwana!.
Ukiachiwa huru|ukipewa haki yako uongozi unakua umelegea..Haha.
Sawa,Endeleeni kuvunja sheria tu kwa kutafuta political violence.
Itafika mahali itabidi kila mtu mwenye madaraka atimize wajibu wake ipasavyo.
Kesho tena akileta ujinga wanambana anakaa mpaka jioniSuala la akili ndogo tu. Polisi wanatumia nguvu bila sababu za msingi.
Daresalam kuna wapiga kura milioni kama 3 sasa nyie hapo manategemea ngapi?Labda nyumbani kwa shemeji yako
So what? Shut upPole zake watz siyo wa mchezo mchezo leo wamemwache pale Kiluvya pekee yake na kikundi chake masaa zaidi ya 9 amepigwa na jua na mbu. Nafikiri atakuwa amewatambua vizuri na bado tarehe 28/10/2020.
Nadhani wameogopa nyomi ya watu kuanza kujaa,Suala la akili ndogo tu. Polisi wanatumia nguvu bila sababu za msingi.
Ujinga unao wewe endelea kupanga mipango haramu ya kumzuia kishamba shamba mkizani mnamkomoa kumbe kumbe mnamfanyia promo zaidi.Kesho tena akileta ujinga wanambana anakaa mpaka jioni
Daresalam kuna wapiga kura milioni kama 3 sasa nyie hapo manategemea ngapi?
Kanda ya ziwa usitegemee wao hupenda shangwe ila ukiondoka wanaenda na mambo yao
Wamevunja sheria gani??Upinzani wa bongo|Tanzania bwana!.
Ukiachiwa huru|ukipewa haki yako uongozi unakua umelegea..Haha.
Sawa,Endeleeni kuvunja sheria tu kwa kutafuta political violence.
Itafika mahali itabidi kila mtu mwenye madaraka atimize wajibu wake ipasavyo.
Wananchi wapi mkuu.?Wananchi walikuwa wameanza kusogea kwa wingi eneo la tukio
View attachment 1592448
View attachment 1592451
Mnaoteseka ni nyie au Chadema?Mtateseka saana mwaka huu, jipange bado tano tena
Vipi ulienda kukinukisha?Umepanic!
Promo gani ni wapumnavu walwale amabo kila siku mpo nae ndo mnaongezeka, lakini mtu na akiri yake hana mda nae.Ujinga unao wewe endelea kupanga mipango haramu ya kumzuia kishamba shamba mkizani mnamkomoa kumbe kumbe mnamfanyia promo zaidi.