mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,173
- 3,443
Tulia dawa iingie,ukikukuruka nitamwaga njePole zake watz siyo wa mchezo mchezo leo wamemwache pale Kiluvya pekee yake na kikundi chake masaa zaidi ya 9 amepigwa na jua na mbu. Nafikiri atakuwa amewatambua vizuri na bado tarehe 28/10/2020.
Kwani hizo akili wanazo Basi!!!???Suala la akili ndogo tu. Polisi wanatumia nguvu bila sababu za msingi.
Na wewe ficha kidogo upopoma wako! Rpc was pwani alisema watakeshanae, Sasa nini kimewafanya waondoke,kama sio nyomi ya watu?Sasa nikiona bavicha yeyote anataoa mkwara humu wakati Lisu kashikiliwa na polisi masaa 8 njiani mpaka wameamua kumuachia kwa hiyari yao wenyewe, hakika ntamuona bavicha huyo ni kopo kabisa.
We nguchilo, wenzio walisema watakeshanae, kwani kukesha ni moja ya kazi zao! Sasa wameachia!Wananchi wapi mkuu.?
Polisi wameona usiku huu Lisu anaweza kubondwa hata jiwe la kichwa tukaahirisha uchaguzi wakati sisi tunahamu ya kumla kwenye box la kura tarehe 28.
Hivi ile mikwara yenu huwa ya nini hasa? Maana Lisu kakalishwa masaa 8 hakuna hata nzi kasogea hapo
kabisa akukua na aja ya kumzuia kwenda Mlandizi,Suala la akili ndogo tu. Polisi wanatumia nguvu bila sababu za msingi.
ile nyomi mpaka kesho ingekuwa kubwa sana na Police Wengi kesho wanatumika kulinda mitihani ya la 7.So kwa kesho kingewaka na idadi ya raia na police ingekuwa aiendani vingeumana kinomaNa wewe ficha kidogo upopoma wako! Rpc was pwani alisema watakeshanae, Sasa nini kimewafanya waondoke,kama sio nyomi ya watu?
Tena ni ushambaUjaona nyamongo na kilombero polisi wanapiga mabomu na watu wanawatazama tu mbaya sana kwenye maisha kutegemea nguvu badala ya majadiliano
Mtu anayetaka kuwa Rais wa nchi anakuwa mwanaharakati, je, ataruhusu harakati au utawala wa sheria?Tundu Antipas Lissu
Ametwet kutujulisha kwamba, pamoja na kucheleweshwa, lakini hakuna kilichohalibika, ratiba itaendelea Kama ilivyopangwa,
Ahsanteni kwa kupaza sauti zenu wote mlioguswa na swala hili
Wale viongozi waliokuwa wanakagua miradi ya serikali umewaona ? wanakera sana, toka lini viongozi wa dini wakakagua miradi ya serikali? nafikiri toka uhuru haijawahi kutokea, unadhani hiyo ni sahihi? je ingefanywa na upande wa pili walau kutembelea ofisi yao na kuiombea nin kingesemwa?? jaribu kufikiria kwa makini.Upinzani wa bongo|Tanzania bwana!.
Ukiachiwa huru|ukipewa haki yako uongozi unakua umelegea..Haha.
Sawa,Endeleeni kuvunja sheria tu kwa kutafuta political violence.
Itafika mahali itabidi kila mtu mwenye madaraka atimize wajibu wake ipasavyo.
Kinachowaingiza wananchi barabaran ni shida zao wala sio Tundu lissu.Kuanzia saa nane mpaka usiku? Nafikiri kama akili zake zinafanya kazi,atakuwa amegundua kuwa swala la kuwaingiza watz barabarani haliwezi kuwa jepesi kama alivyokuwa analichukulia.
Sheria zipi na za wapi zimevunjwa?Upinzani wa bongo|Tanzania bwana!.
Ukiachiwa huru|ukipewa haki yako uongozi unakua umelegea..Haha.
Sawa,Endeleeni kuvunja sheria tu kwa kutafuta political violence.
Itafika mahali itabidi kila mtu mwenye madaraka atimize wajibu wake ipasavyo.
Huu upumbavu mliokuwa nao CCM ndiyo imepelekea kuvuna chuki kubwa toka kwa wananchi wasiopenda ukwege wa kijinga kama wenu, kukaa saa nane akiwa kazuiwa na chombo cha CCM kwa upinzani ni credit kubwa sana, kwa upumbavu wenu mmeona mmemkomoa lakini Duniani kote wameona CCM inajidhalilisha kwa kufanya ubabe wa kizamaniWananchi wapi mkuu.?
Polisi wameona usiku huu Lisu anaweza kubondwa hata jiwe la kichwa tukaahirisha uchaguzi wakati sisi tunahamu ya kumla kwenye box la kura tarehe 28.
Hivi ile mikwara yenu huwa ya nini hasa? Maana Lisu kakalishwa masaa 8 hakuna hata nzi kasogea hapo