Uchaguzi 2020 Polisi waondoa kizuizi alichowekewa Tundu Lissu Kiluvya. Asema anaendelea na safari yake

Uchaguzi 2020 Polisi waondoa kizuizi alichowekewa Tundu Lissu Kiluvya. Asema anaendelea na safari yake

Pole zake watz siyo wa mchezo mchezo leo wamemwache pale Kiluvya pekee yake na kikundi chake masaa zaidi ya 9 amepigwa na jua na mbu. Nafikiri atakuwa amewatambua vizuri na bado tarehe 28/10/2020.
Tulia dawa iingie,ukikukuruka nitamwaga nje
 
YAMETUKANWA KWA MIAKA MI5 NA YESU WA ROCK CITY LAKINI BADO MABEBERU HAYA YAMETOA MABILIONI ILI KUSAIDIA KAYA MASKINI KATIKA NCHI ISIYO MASKINI,HAYAKUBALIKI NA WANA CCM LAKINI YANAJIPENDEKEZA YAONDOKE KWA NANI ANAYAHITAJI HAYA MAJITU,HII NCHI HURU WANATUHITAJI SISI ZAIDI
MABEBERU JAMANII.JPG
 
Hapo sasa nani hana msimamo kati ya Lissu na polisi?Tunaomba chombo chetu kifanye mambo kwa weredi huku ni kujiaibisha kabisa
 
Sasa nikiona bavicha yeyote anataoa mkwara humu wakati Lisu kashikiliwa na polisi masaa 8 njiani mpaka wameamua kumuachia kwa hiyari yao wenyewe, hakika ntamuona bavicha huyo ni kopo kabisa.
Na wewe ficha kidogo upopoma wako! Rpc was pwani alisema watakeshanae, Sasa nini kimewafanya waondoke,kama sio nyomi ya watu?
 
Wananchi wapi mkuu.?

Polisi wameona usiku huu Lisu anaweza kubondwa hata jiwe la kichwa tukaahirisha uchaguzi wakati sisi tunahamu ya kumla kwenye box la kura tarehe 28.

Hivi ile mikwara yenu huwa ya nini hasa? Maana Lisu kakalishwa masaa 8 hakuna hata nzi kasogea hapo
We nguchilo, wenzio walisema watakeshanae, kwani kukesha ni moja ya kazi zao! Sasa wameachia!
 
Na wewe ficha kidogo upopoma wako! Rpc was pwani alisema watakeshanae, Sasa nini kimewafanya waondoke,kama sio nyomi ya watu?
ile nyomi mpaka kesho ingekuwa kubwa sana na Police Wengi kesho wanatumika kulinda mitihani ya la 7.So kwa kesho kingewaka na idadi ya raia na police ingekuwa aiendani vingeumana kinoma
 
06 October 2020
Mlandizi, Pwani
Tanzania

#LIVE USIKU HUU TUNDU LISSU KAFANYA KIKAO MLANDIZI. KIKAO CHA SHUGHULI ZA CHAMA CHINI YA KOFIA YAKE YA MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA LEO USIKU


Polisi kisheria hawatakiwi kuingia sebuleni au chumbani wakati kuna vikao vya ndani vya chama, hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu wakati akiongea na wanachama wa CHADEMA wakiwa wanazungumzia shughuli za chama.

Tundu Lissu katika ziara ya kichama amesema Polisi kisheria wanaruhusiwa kuratibu mikutano ya hadhara tu na kampeni za uchaguzi. Lakini Polisi hawana mamlaka kisheria kuingia ktk mikutano ya ndani ya kichama hata ifanyike usiku mwingi.

Na ndiyo maana imekuwa lazima afike Mlandizi kufanya shughuli za kichama alizoagizwa kufanya na Kamati Kuu ya CHADEMA baada ya kusitisha mikutano ya kampeni kutokana na amri ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Hivyo kama Makamu Mwenyekiti wa chama lazima aendelee kufanya shughuli za chama akisubiri siku 7 ziishe ili arudi tena katika ulingo mwingine wa mikutano ya Kampeni inayofuata ratiba ya Tume na muda uliopangiwa wa kampeni kusimamiwa na polisi kama sheria ya Uchaguzi na mikutano ya hadhara inavyowapa polisi kusimamia usalama wa mikutano ya hadhara na kuhakikisha inaisha saa 12 jioni.

Makamu mwenyekiti wa chama katika kikao hicho cha kichama amesema mchakato unafikia pahala pagumu napo ni hatua ya mawakala.

Amewataka kuhakikisha mawakala wao wanaapishwa pia kuwa wanafika kituo cha kupigia kura. Mbaya zaidi siyo chama kitachohusika kuwatambulisha mawakala kwani sheria iliyopo imempa Mkurugenzi mamlaka ya kuandika barua za utambulisho na inafahamika wakurugenzi wote ni wateule wa mgombea wa urais kupitia CCM.

Sheria pia iliyopo inasema mawakala watapewa fomu za matokeo ya kura ikiwa zitakuwepo za kutosha kituoni hivyo wagombea wote ngazi zote wa CHADEMA na wananchi wawe tayari kupambana na changamoto hizo za mawakala wetu ili haki itendeke.
 
Tundu Antipas Lissu
Ametwet kutujulisha kwamba, pamoja na kucheleweshwa, lakini hakuna kilichohalibika, ratiba itaendelea Kama ilivyopangwa,
Ahsanteni kwa kupaza sauti zenu wote mlioguswa na swala hili
Mtu anayetaka kuwa Rais wa nchi anakuwa mwanaharakati, je, ataruhusu harakati au utawala wa sheria?

Mtu ambaye ni nguri wa sheria anavunja sheria kwa makusudi, je, aweza kuwa mtetezi wa sheria?

Chama chake kinachodai utawala wa sheria kinamruhusu mgombea wake wa Urais wa JMT kukaidi utii wa sheria, je, wana uhalali wa kuaminiwa kukabidhiwa nchi?
 
Tusonge mbele nyuma ya shujaa kiongozi Tundu Lissu mwamba wa kupigania haki, kura zote za Urais kwake bila kujali vyama maana Haki huinuwa waTanzania wote
 
Upinzani wa bongo|Tanzania bwana!.

Ukiachiwa huru|ukipewa haki yako uongozi unakua umelegea..Haha.

Sawa,Endeleeni kuvunja sheria tu kwa kutafuta political violence.

Itafika mahali itabidi kila mtu mwenye madaraka atimize wajibu wake ipasavyo.
Wale viongozi waliokuwa wanakagua miradi ya serikali umewaona ? wanakera sana, toka lini viongozi wa dini wakakagua miradi ya serikali? nafikiri toka uhuru haijawahi kutokea, unadhani hiyo ni sahihi? je ingefanywa na upande wa pili walau kutembelea ofisi yao na kuiombea nin kingesemwa?? jaribu kufikiria kwa makini.
 
Kuanzia saa nane mpaka usiku? Nafikiri kama akili zake zinafanya kazi,atakuwa amegundua kuwa swala la kuwaingiza watz barabarani haliwezi kuwa jepesi kama alivyokuwa analichukulia.
Kinachowaingiza wananchi barabaran ni shida zao wala sio Tundu lissu.
 
Upinzani wa bongo|Tanzania bwana!.

Ukiachiwa huru|ukipewa haki yako uongozi unakua umelegea..Haha.

Sawa,Endeleeni kuvunja sheria tu kwa kutafuta political violence.

Itafika mahali itabidi kila mtu mwenye madaraka atimize wajibu wake ipasavyo.
Sheria zipi na za wapi zimevunjwa?
 
06 October 2020
Mlandizi, Pwani
Tanzania

#LIVE TUNDU LISSU ANAENDESHA KIKAO CHA NDANI MUDA HUU MLANDIZI​

38,129 views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu akitekeleza majukumu ya shughuli za chama Kibaha Vijijini ktk mji mdogo wa Mlandizi kama alivyopangiwa na Kamati Kuu ya CHADEMA
 
Wananchi wapi mkuu.?

Polisi wameona usiku huu Lisu anaweza kubondwa hata jiwe la kichwa tukaahirisha uchaguzi wakati sisi tunahamu ya kumla kwenye box la kura tarehe 28.

Hivi ile mikwara yenu huwa ya nini hasa? Maana Lisu kakalishwa masaa 8 hakuna hata nzi kasogea hapo
Huu upumbavu mliokuwa nao CCM ndiyo imepelekea kuvuna chuki kubwa toka kwa wananchi wasiopenda ukwege wa kijinga kama wenu, kukaa saa nane akiwa kazuiwa na chombo cha CCM kwa upinzani ni credit kubwa sana, kwa upumbavu wenu mmeona mmemkomoa lakini Duniani kote wameona CCM inajidhalilisha kwa kufanya ubabe wa kizamani
 
ccm ya sasa imejaa wajinga watupu matendo yao ni kama wapo boarding school wana visa visa figisu figisu za kijinga jinga nyingi bila kikomo
 
Huyo askofu nazn wameshaanz kutamfutia jambo lAkumfanyia.
 
Back
Top Bottom