Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Inamana hawakuomba kibali Cha maandamano mpaka Leo? Mbona Kama hawana weledi.
Kwanza kuna kuomba ruhusa kumpokea mtu? Mapokezi ya Simba na Yanga uwanja wa ndege yanakuwaga na maombi kwa polisi???Ndio maana tunasema huko CDM hakuna weledi tena, yaani fujo za threads kwenye mitandao zimejaa, kumbe hata ruhusa hawajaomba!!
Kuna watu wanataka kuwatanguliza wenzao kichwa kichwa kwa ajili ya kupata Kiki
Wanatakiwa kuomba kibali Cha kukusanyika, siyo kuandamana.Inamana hawakuomba kibali Cha maandamano mpaka Leo? Mbona Kama hawana weledi.
Tatizo huna shule in mjinga tangu lini unapopokea mgeni uombe kibali ndio maana tunasema muende shuleNdio maana tunasema huko CHADEMA hakuna weledi tena, yaani fujo za threads kwenye mitandao zimejaa, kumbe hata ruhusa hawajaomba!!
Kuna watu wanataka kuwatanguliza wenzao kichwa kichwa kwa ajili ya kupata Kiki
Ngoja wapeleke barua usikie ramli zitakazopigwaHalafu wanataka wakusanyike
Pamoja na kwamba hata wangeomba wangenyimwa ila at least wangekua wamefuata sheria
Una uhakika? Au kwakua unaona tu watu wapo mitaani na kombe. Kamati husika huwa zinaomba kibali kwa polisi na ndio Mana unaona kunakuwa na ulinzi wa polisi.Polisi wa Tanzania wanaenda kuingia kwenye rekodi chafu sana. Wasipoangalia wanaenda kuiingiza hii nchi kwenye matatizo makubwa sana.
Hakujawai kuwa na kibali cha mapokezi ya mtu hapa Tanzania kila siku tunawapokea Simba na Yanga na wala hakuna kibali chochote cha kuwapokea polisi wanahitaji
Ndio wameomba ruhusa! Hakuna mkusanyiko mkubwa wa watu unaoruhusiwa bila kibali cha polisiKwanza kuna kuomba ruhusa kumpokea mtu??? Mapokezi ya Simba na Yanga uwanja wa ndege yanakuwaga na maombi kwa polisi???
Mapokezi ya Hussein Mwinyi Zanzibar juzi waliomba ruhusa polisi???
Unayeandamana ni wewe na mapoyoyo wenzakoWanatakiwa kuomba kibali Cha kukusanyika, siyo kuandamana.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Usiye soma ni we we, na Kama ulisoma basi ujinga haujakutoka kichwani! Dada nenda kampokee Lisu bila kibali cha kukusanyika then utatupa mrejesho hapaTatizo huna shule in mjinga tangu lini unapopokea mgeni uombe kibali ndio maana tunasema muende shule
Sio barua tu, viongozi wakuu miongoni mwao waende kwa mambosasa wakapangane, muda utakaotumika, Massa, pia njia zitakazotumika kumpokea lissu.Ngoja wapeleke barua usikie ramli zitakazopigwa