Haya maelekezo kutoka juu yatawagharimu hawa form four failure! Toka lini mapokezi ya mtanzania yakatolewa taarifa polisi, wao kama nani?Jeshi la polisi limesema limeona baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakihamasisha kukusanyika ili kumpokea mmoja wa kiongozi wanayetarajia kurejea nchini Julai 27, 2020...
Kuomba ulinzi kwani pana vibaka pale watu watampokea hata nje ya geti la airport mataa ya airport ili kuondoa crush na Hawa walinzi wa ccm.Hivi nikuomba kibari au kuomba ulinzi wa shughuri husika Yani kutoa taarifa?
Hv ck hizi ukiwa na mgeni ni lazima upate kibali.labda mm sijaelewa wanaandamana au wanakwenda kumpokea kiongozi wao au kupokea nako pia ni kuandamana nisaidieni wanajfHalafu wanataka wakusanyike
Pamoja na kwamba hata wangeomba wangenyimwa ila at least wangekua wamefuata sheria
Hv ck hizi ukiwa na mgeni ni lazima upate kibali.labda mm sijaelewa wanaandamana au wanakwenda kumpokea kiongozi wao au kupokea nako pia ni kuandamana nisaidieni wanajf
Wanafunzi wanadai kupunjwa boom, mwingine ni abiria hakuhitaji kibali kumpokea mgeni labda tu Kama wanatii maagizoHao wanafunzi hata mi siwaelewi kwanini wanataka kuandamana? Kuhusu kumpokea mtu sidhani kama inahitaji kibali
Jeshi linaogopa hata kutaja jina Lissu.Jeshi la polisi limesema limeona baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakihamasisha kukusanyika ili kumpokea mmoja wa kiongozi wanayetarajia kurejea nchini Julai 27, 2020...
Duh,kwenda kumpokea MTU airport kuna uhitaji wa kutoa taarifa police? Simba au yanga wanatoaga taarifa !? VIP Diamond na wasanii wengne wanaopokelewa na watu wengi ,huwa wanatoa taarifa jaman!!!!?mmmh ...........this is too much!
Hivi kumbe mtu anatakiwa kuomba kibali anapoenda kumpokea mpendwa wake Airport?Ina maana hawakuomba kibali cha maandamano mpaka Leo? Mbona kama hawana weledi?
Wamekula matapishi yao!Jeshi la polisi limesema limeona baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakihamasisha kukusanyika ili kumpokea mmoja wa kiongozi wanayetarajia kurejea nchini Julai 27, 2020.
Polisi wamesema hawana taarifa rasmi ya mikusanyiko hiyo inayohamasishwa mitandaoni. Wamesema ni haki yao kukusanyika lakini hakuna haki bila wajibu, hivyo wamewataka viongozi hao kufuata sheria.
Aidha jeshi la polisi limesema linafuatilia wanaosambaza ujumbe wa kuhamasisha wanafunzikugoma kwa kutoingia madarasani ili kushinikiza Bodi ya Mikopo kurejea masharti ya mkataba ya fedha ya kujikimu.
Polisi wamesema hawatasita kuwachukulia hatua wanaokiuka sheria, kwa kuitisha mikusanyiko na maandamano yasiyo na Baraka za kisheria, hivyo wamewataka wanafunzi wafuate njia stahiki za kufikisha malalamiko yao na sio kukiuka sheria.