PreGE2025 Polisi wasema wamemkamata Golugwa kutokana na taarifa za siri kuwa anasafiri bila kufuata sheria!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sasa si bora wasingetoa sababu yoyote ijulikane amekamatwa tu kwa kuwa ndio mfumo tuliochagua sio lazima ukamatwe kwa kosa unaweza kukamatwa kosa ukalipatia mahabusu.Nimeshashudia mara kadhaa watu wako mahabusu wanaunganishwa kwenye kosa lilofanyika wao wakiwa mahabusu tayari na huchomokea tu mahakamani.
 
Police wanajitengenezea chuki isiyo ya lazima.mimi ni CCM lakini sikubaliani na upuuzi wa kunyanyasa wapinzani.kwanini tunashindwa kushindana Kwa hoja?
 
Ni zipi hizo taratibu za kisheria ambazo mtanzania anapaswa kuzifuata kila akiondoka na kurudi? Jamani nchi yangu inakwenda wapi?
 
Uwe na passport ya Tanzania

Sasa kama una passport ya nchi nyingine na unatumia kusafiria ina maana wewe sio raia wa Tanzania
Tanzania haijaruhusu uraia pacha
Kuna mawaziri wana passport tatu, kuna wabunge wana passport mbili, kuna mpaka wakui wa vyombo vya ulinzi na usalama wana pasaport zaidi ya moja.
Mimi nina ya Tanzania na Rwanda.
 

Tumetekwa wote na kuwekwa katika gereza kuu lisilo na kuta , tumekuwa nyara za taifa tukiwa ndani na nje ya nchi. Tanzania haina tofauti na Korea ya Kaskazini ambapo raia wote ni mateka wa watawala :

TOKA MAKTABA :

exemplo.


Photo : Tundu Lissu líder do partido Chadema

13 March 2025
Luanda, Angola

LIVE AIRPORT : WAJUMBE WA MKUTANO WA IDC WAONDOKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA FEBRUARI 4 LUANDA ANGOLA

Tundu Lissu akielekea Intercontinental Hotel Luanda Angola usiku huu, :

View: https://m.youtube.com/watch?v=hwTMxBWaiHo

Tundu Lissu ashangaa maafisa uhamiaji walipodai hapo awali kuwa wamrundika rumande, kusubiri kuondoshwa nchini Angola kabla ya kupandishwa ndege

View: https://m.youtube.com/watch?v=H8EKTS6Rek8
Walioshikiliwa hapo awali Airport kwa masaa 8 ni pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar mheshimiwa Othman Masoud Othman, Tundu Lissu, Dorothy Semu, balozi HE Lieutenant General Matthew Edward Mkingule, Zitto Kabwe ...wote kutoka Tanzania
 
Hahahahahaha, kusafiri bila kufuata sheria ndio kwa namna gani huko?..

Ukiwa na Passport, visa yauendako na tiketi ya ndege unahitaji nini kingine?.
Kama uendako wamekupa Visa, na imegongwa kwenye passport yako shida ni nini hapo?.
Ndiomana kuna wadau wanasema Tanzania na vyombo vyake vya ulinzi na usalama ni vichekesho
 
Mzee Mandela R.i.p Raiswa zamani wa Africa ya kusini wakati anakula kiapo kuiongoza A. Kusini, polisi wa makaburu zaidi ya 85% waliacha kazi.
Sababu kubwa ni kuanza kupokea amri kutoka kwa wale waliokuwa wakiwapiga, kuwaumiza, kuwatesa na kuwapa kesi za ******* na kisha kuwafunga.
Hili nalo litatokea hapa. Polisi hawa watapata aibu kubwa wakati watakapokuwa chini ya serekali isiyo ya ccm.
 
Ninasema huku Kila siku, Jeshi la Polisi limejazwa watu wajinga na wapumbavu

Hivi MTU kusafiri anavyotaka ndan na Nje ya Nchi, mpaka awe anaaga Jeshi la Polisi???.


Hafuati Sheria, anasafirije ???.



Kuna Mahali nimeandika, Wajinga wajeshi la Polisi Tanzaniaz waliposikia Kesho kuna Mkutano Belgium wa IDU, Atapewa nafasi ya kuzungumza.


Walivyo wajinga wakadhani Kwa kufanya hivo, itasaidia Yanayoendelea Nchini yasifike Kwa wazungum



Yaan hizo ndo akili za KiCCM na Jeshi lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…