walimu wako wa shule ya msingi walipata shida sana kukufundisha.Alikuwa anatembea nae kuelekea wapi? Kiswahili kigumu sana
Inawezekana ila kusema mapenzi haiingii akilini kabisaHapo kuna Visasi vya kudumu huyo Mke amekuja kua kichocheo tu.
Na iwe. Inatesa jamani yani familia nzima? Utasema anachinja kuku. Not fair
Swali gumu, hamheshimu hadi anagawa utamu nje[emoji23][emoji23][emoji23]unataka mke wako aheshimiwe we hujiulizi kwanini hakuheshimu wewe....
Jifunze kutoa hoja weweacha ujinga basi.
Mpuuzi kama huyu atakaa jela hadi anakufa akila kodi zetu tu,hivi inakuwaje mtu mmoja aweze kuua watu wote hao bila msaada?? ila kama kweli ni mapenzi jamaa huyu anyongwee hadharanii watu waanze kutumia akilii kufanya maamuzi kwenye migogoro ya mapenzi... lakini pia nahisi ni mambo ya dhurumaa aisee maana duuh sio kwa huu unyamaa.
Du! Wapi huko mkuu? Unamtoa mtoto uhai, kisa amekuona ukikata gogo, ni zaidi ya unyama,Wapuuzi nchi hii Kwa Sasa wako wengi wala sishangai. Kama Mtu alimuua Mtoto wa jirani kisa kamchumgulia anakunya kichakani utashangaa hili la ugoni? Baki Peke yako usiyeamini.
Mi kilichonipa moyo katika hili sakata ni intelligensia ya wapelelezi. Naombeni niwape kongole.
Huwa nasifia sana usalama wa taifa la nchi yangu kwasababu nyingi tu. Ndani ya siku tatu kumjua muuaji kwakweli ni kitu cha kushukuru. Mauaji yameniuma mno.
Huyu sasa kazi ibaki mahakamani kwenye swala la upelelezi haujakamilika huko ndo kunachosha. Lakini kitendo cha kuua hadi bibi na wale watoto kisa kosa la mtu mmoja kimeniuma mno.
Haki itendeke
We unajuaje nipo pekeyangu nisiyeamini?Polisi hawa hawaaminiki popote lazima kauli kauli zao uzitafakari sio wa kuwaamini kirahisiWapuuzi nchi hii Kwa Sasa wako wengi wala sishangai. Kama Mtu alimuua Mtoto wa jirani kisa kamchumgulia anakunya kichakani utashangaa hili la ugoni? Baki Peke yako usiyeamini.
Sasa ndo unasema niache wake za watu, nitake radhiAcheni wake za watu. Ila kakosea sana kuua wasiohusika
We bisha sasa, Wake zetu wasitulie wawape mle mfe.Waambieni wake zetu waridhike nanyi....wavitulize
Acheni wake za watu. Ila kakosea sana kuua wasiohusika
Wanaleta ulijali kwenye wake za watu af wanakua na vbur na dharau sasa uyo ni Specimen prac ndo hiyo.Shida inaanzia pale. "Nitakuonyesha, wewe si unajifanya mjanja"
Kugongewa kuna uma sana zaidi ya msiba ndiyo maana kila mmoja anatoa maamuzi tofauti
1. Mwingine anajiua mwenyewe
2. Mwingine anamuacha
3. Mwingine anamsamehe wanarudiana
4. Mwingine hamuachi ila vitimbi vyake naye anaanza kutoka nje
5. Mwingine anamuua mkewe kwa kumpiga risasi au kumchoma na gunia la mkaa
6. Mwingine anakutafuta anakupiga mashine (wanakulawiti)
Tukishaoa, tutulie na familia zetu. Ona sasa ngono inaondoa familia yake yote.
Mpaka kufika hapo, nahisi jamaa alikanywa sana ila akawa viburi. Ndiyo matokeo yake hayo
hoja huwekwa palipo na hoja.Jifunze kutoa hoja wewe
DahNa hapo katembea nae tu kapata hilo pigo je Angekimbia nae si wangekufa Waha wote[emoji848]