Naomba mtu anisaidie kunielezea dhumuni ya hayo maandamano na faida yake.
Tapeli weweHii Barua ya polisi ni kama imeandikwa na mtoto wa LA SABA.
Full miparaganyiko, hata kuandika hawajui.
Nyani Ngabu
Anazoliwa mama akoKwani wewe ni mchepuko wa Mbowe, nawe ulitaka kuliwa goli ngapi?
Ndo nimejua dhumuni ni external forces wapate taarifa!Ni moja ya njia ya kidemokrasia kwa watu wanaodhani hawana sauti, kupaza sauti zao ili jumuiya zilizo nje ziweze kuona na kusikia kilio chao...
Mathalani, hao CDM wamepanga kumalizia maandamano yao ofisi za UN, hivyo kama wameratibu vyema maandamano yao maana yake taarifa zao zitasikika na UN...
Chadema mbona mnataka kuleta visingizio, cha msingi ni mmeelewa na barua n kutoka polisiHii Barua ya polisi ni kama imeandikwa na mtoto wa LA SABA.
Full miparaganyiko, hata kuandika hawajui.
Nyani Ngabu
Si mlisema bora awamu ya JPM kuliko ya mama, au unapingana na Chadema wenzako?natamani marehemu magufuri yule rais wa wavivu(wanyonge) ajionee mama samia alivyo na chembe ya imani
Ndo nimejua dhumuni ni external forces wapate taarifa!
Asante mkuu
Kama ni hivyo dhumuni la kuandamana ni zuri hapo tu kwenye katiba kubadilishwaYes, ukicheck background unaona Chadema hawana imani na serikali ya CCM hivyo malalamiko yao hawaoni kama yatasikizwa pasipo shinikizo toka nje au kwingineko...
Ukiacha hivyo pia dhumuni la maandamano ya CDM ni kuchochea hamasa na kukumbusha wananchi ya kwamba, ni jukumu ya kila mmoja kupaza sauti kudai haki zao za kikatiba...
Vile vyama 14 vya upinzani vya MFUKONI .....Polisi wameshatoa baraka zao ili tufanye maandamano yetu kwa amani.
Nawaombeni wazalendo wote hapa nchini kesho tujitokeze kwa wingi kufanya maandamano ya amani.
View attachment 2880696View attachment 2880697
hapana mi ni mr pipa aka nabii wa mikeka, zero IQ kuna kitambo sijamuona hapa jukwaanWewe ni Zero?
Kaulize vile vyama 14 vya upinzani.Naomba mtu anisaidie kunielezea dhumuni ya hayo maandamano na faida yake.