Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Naomba mtu anisaidie kunielezea dhumuni ya hayo maandamano na faida yake.
Ni moja ya njia ya kidemokrasia kwa watu wanaodhani hawana sauti, kupaza sauti zao ili jumuiya zilizo nje ziweze kuona na kusikia kilio chao...
Mathalani, hao CDM wamepanga kumalizia maandamano yao ofisi za UN, hivyo kama wameratibu vyema maandamano yao maana yake taarifa zao zitasikika na UN...