Pre GE2025 Polisi watoa kibali cha maandamano kwa CHADEMA. Wawasisitiza viongozi kuepuka vitendo vya uvunjifu wa amani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naomba mtu anisaidie kunielezea dhumuni ya hayo maandamano na faida yake.

Ni moja ya njia ya kidemokrasia kwa watu wanaodhani hawana sauti, kupaza sauti zao ili jumuiya zilizo nje ziweze kuona na kusikia kilio chao...

Mathalani, hao CDM wamepanga kumalizia maandamano yao ofisi za UN, hivyo kama wameratibu vyema maandamano yao maana yake taarifa zao zitasikika na UN...
 
Ndo nimejua dhumuni ni external forces wapate taarifa!
Asante mkuu
 
Yes, ukicheck background unaona Chadema hawana imani na serikali ya CCM hivyo malalamiko yao hawaoni kama yatasikizwa pasipo shinikizo toka nje au kwingineko...

Ukiacha hivyo pia dhumuni la maandamano ya CDM ni kuchochea hamasa na kukumbusha wananchi ya kwamba, ni jukumu ya kila mmoja kupaza sauti kudai haki zao za kikatiba...
 
Mungu ibariki Chadema!! Sio Polisi tulikuwa tunasali ili kibali kitolewe!
 
Yes, ukicheck background unaona Chadema hawana imani na serikali ya CCM hivyo malalamiko yao hawaoni kama yatasikizwa pasipo shinikizo toka nje au kwingineko...

Ukiacha hivyo pia dhumuni la maandamano ya CDM ni kuchochea hamasa na kukumbusha wananchi ya kwamba, ni jukumu ya kila mmoja kupaza sauti kudai haki zao za kikatiba...
Kama ni hivyo dhumuni la kuandamana ni zuri hapo tu kwenye katiba kubadilishwa

Nilidhani wanaandamana kugombana na Ccm, hivyo nikawa napinga kimoyomoyo
Kama nia ni hiyo basi ni Njema!
 
Polisi wakiendelea kuruhusu maandamano yao ya amani baada ya muda wataandamana hakina Mbowe na Wapenzi wake tu! 😀😀😀
 
Sukari kg 1, Tsh 5,000
Kesho Chadema tunawasubiri mliseme hili
 
Attachments

  • 20240123_184254.jpg
    20240123_184254.jpg
    415.9 KB · Views: 1
Vipi JWTZ nao wametoa waraka wa kusitisha kufanya usafi wa jiji tarehe hizo?
 
Mwandishi mbona amekoseakosea sana maandishi ,haraka ilikuwa ya nini wakati waliarifiwa tangu tr16 january 2024
 
Back
Top Bottom