Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Kama umeiona video usiisambaze ili na wengine waone.
Wewe ulieona utalisaidia jeshi la polisi iwapo utawatambua wahusika.

Kusambaza ni kosa, hata mimi siafiki usambazaji wa hiyo video ni kuzidi kumdhalilisha huyo binti.

Sidhani kama kwa ishu ilipofika ati polisi hawana clue yoyote, sio kweli.
 
Kila siku nasema mabinti waache kudate na waume za watu, na wakaka waache kudate na wake za watu.

Madhara ndo km hayaa, khaaaah
 
Jeshi la polisi msitie aibu nchi hii mambo yako hadharani kuna watu mpaka wamewatafutia address zao na number za simu lakini mpaka sasa hakuna aliyewekwa chini ya ulinzi? Kwenye hili mchague kusuka au kunyoa tuacheni kubebabana kwenye dhambi. Kama ni kweli wanajeshi hakuna mtu aliye juu ya sheria wafikishwe sehemu usika wanapata adhabu inayostahili kifungo cha maisha gerezani. Mkiiacha hili kupita basi mjiandae na maafa.
 
Kila siku nasema mabinti waache kudate na waume za watu, na wakaka waache kudate na wake za watu.

Madhara ndo km hayaa, khaaaah
Hivi unajua ulawiti wa watoto uleongezeka kwa kiasi gani Tanzaia. Angalia takwimu za mwaka huu uone jinsi Tanzania inapoelekea pabaya. Wahuni ni wahuni tu haijalishi umetembea na mke au mume wa mtu . Kuna watu wanabakwa kila siku na wala hawajawahi kutembea na mke au mume wa mtu.
Tunaofanya kazi za gender and sexual violence ndio tunaona maumivu wanaopitia kwa kulawitiwa na kubakwa na vijana wahuni.
 
Hivi wakati mie nazungumzia na kusemea wimbi la ukuaji wa ulawiti na ushoga hapa Tanzania, si mlisema nasambaza agenda? Ikafikia hatua post kufutwa na mie kupigwa Ban kwa muda?

Bado hamjasemaaa, yaan hapoo badooo!! UNAFIKIIII
unawaumbuaa km hiviii, Poleeeeeni
 
Kila siku nasema mabinti waache kudate na waume za watu, na wakaka waache kudate na wake za watu.

Madhara ndo km hayaa, khaaaah
Angalia takwimu hapo. Hakuna justification ya kubaka mtu kisa kwa hiari yao wamekubali kufanya mapenzi. Angalia takwimu hizo, hao nao walitembea na mke au mume wa mtu.
 
Attachments

  • IMG-20240805-WA0003.jpg
    116.2 KB · Views: 2
Angalia takwimu hapo. Hakuna justification ya kubaka mtu kisa kwa hiari yao wamekubali kufanya mapenzi. Angalia takwimu hizo, hao nao walitembea na mke au mume wa mtu.
Mtasemaaa yotee, hapoo badooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila siku nasema mabinti waache kudate na waume za watu, na wakaka waache kudate na wake za watu.

Madhara ndo km hayaa, khaaaah
Ni tatizo kubwa ila wanawake tusiwe weak kiasi hicho,mtu ameacheat move on,thats your strength,kama huwezi kumsamehe muache,kama unaweza samehe muendelee na maisha hakuna haja ya kumfanyia mwingine ukatili
 
Hii kesi na ya yule RC wa Simiyu iwe mifano ,hakimu atoe adhabu kali ili vitendo vya kuwafanyia ukatili mabinti UKOME.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…