Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Mnazungumzia Vijana tu ila afande ambae ni mwanamke aliewamlisha vijana watende unyama hamumzunguzii kabisa.
 
Natoa angalizo tu haya mambo yalianza kwa kutuhumiwa mkuu wa mkoa na sasa anatuhumiwa mjeda Mungu wa Mbinguni atakasirishwa sana na huu uovu

Imenilazimu kupanda Mlimani kumuomba Mungu wa Mbinguni aingilie Kati

Mlale Unono 🐼
mWAMBIE aAMIA AWAWAJIBISHE KAMA ALIVYOFANYA KWA NAPE KAMA wAMBURA HAJACHUKUA HATUA MAANA KUNA KAMA KULINDANA, KWANINI HAWATAJI MAJINA YA HAO WANAOSeMA WAMEWAKAMATA. mBONA KWA MTOTOT ALBINO WALIMKOMALIA PaROKO NA MAJINA YAKE SASA HAWA WANAFICHA NINI? masauni anaficha majina
 
Majina yatatajwa baadae
 
Ukizoea kuvitumia vyombo vya dola kufanya dhambi siku vikifanya dhambi kama hizi huwezi kuvikemea.

CCM haiwezi kuviwajibisha vyombo vya dola kwasababu inavihitaji vyombo hivyo ili kubaki madarakani kwa mbinu ovu.​
 
Natoa angalizo tu haya mambo yalianza kwa kutuhumiwa mkuu wa mkoa na sasa anatuhumiwa mjeda Mungu wa Mbinguni atakasirishwa sana na huu uovu

Imenilazimu kupanda Mlimani kumuomba Mungu wa Mbinguni aingilie Kati

Mlale Unono 🐼
Mlima wenyewe usiwe kitonga tu,kwani ni moja ya milima ya dhambi kwanini,madereva wamekuwa wakiyaporomoshea korongoni magari ya mabosi wao baada ya kuwaibia,iwe malori ya wese hata yale ya zaga nyingine..
 
Natoa angalizo tu haya mambo yalianza kwa kutuhumiwa mkuu wa mkoa na sasa anatuhumiwa mjeda Mungu wa Mbinguni atakasirishwa sana na huu uovu

Imenilazimu kupanda Mlimani kumuomba Mungu wa Mbinguni aingilie Kati

Mlale Unono 🐼
Kisa vimepata umaarufu? Haya mambo yapo kabla ya smartphone
 
Saidia vyombo vya dola kupata jina lake na anakoishi
jina lake limesha julikana na hadi namba so hata nilivyoona kavaa gwanda za jeshi nimeshangaa san

pia swezi jua anaishi wapi kwa sasa maana yalikuwa ni mazingira ya shule ya msingi tena 2010 kurudi nyuma
 
Huko aliko sijui afande ana Hali Gani na jamaa zake,
 
Dunia inaenda kuisha.Hivi kweli tumefikia hapa Kama taifa ambalo watu wake ambao ni wamoja na wenye upendo.Hivi binadamu wa kawaida wanafanya vitendo hivyo vya kinyama Kama hili la huyo Binti mdogo.Watoto wetu tuwalele wapi?Hao vijana wanyongwe inatia hasira sana.Binadamu tumrudie Mungu.
Hao watoto wenu mna uhakika hawayajui hayo mambo? isije mkawa mnawalinda mkifikiri ni innocents kumbe ni mapro na wanafanya kwa hiyari yao, anyway, nafikiri wqzazi wanatakiwa kuwajibika na malezi ya mabinti zao malezi ya kizungu na kuwaachia uhuru usiokua na mipaka haya ndio madhara yake.
 
mWAMBIE aAMIA AWAWAJIBISHE KAMA ALIVYOFANYA KWA NAPE KAMA wAMBURA HAJACHUKUA HATUA MAANA KUNA KAMA KULINDANA, KWANINI HAWATAJI MAJINA YA HAO WANAOSeMA WAMEWAKAMATA. mBONA KWA MTOTOT ALBINO WALIMKOMALIA PaROKO NA MAJINA YAKE SASA HAWA WANAFICHA NINI? masauni anaficha majina

Nilivyowaelewa Masauni na Gwajima ni kwamba hao WAJEDA washawekwa "LUPANGO" ila JESHINI ,kuna taratibu za kumkamata MJEDA ndiyo zinafuatwa ,zikikamilika wanakabidhiwa kwa POLISI waendelee na mtu wao.

Kwakuwa ili jambo lina public interest tunaomba hizo taratibu zifuatwe kwa uharaka ,kwanza hao jamaa lazima wafukuzwe kazi ,ili wafukuzwe means lazima taratibu za kuachishwa kazi zifuatwe ,signs zipite kote kote na mtuhumiwa aelezwe kosa lake....Ila according to Bon Yai jamaa washakamatwa kweli ila wapo kizuizini KAMBINI.
 
Back
Top Bottom