Pombe feki zinalipa sana. Walevi jiandaeni na DIALYSIS!

Ngoja JamiiCheck. Aje afanye verification. Ikiwa ni kweli basi hali ni mbaya sana 😌😌
 
Viwanda bubu angalau kimoja kina gharim tsh ngapi mkuu?

Sasa mimi siwezi kufahamu mkuu! 😊
Ninachojua mie ni kwamba, kuna kuwa na wadwanzi hapo hapo kiwandani, wanauza "code" au "formula" kwa wapiganaji. Wanaichezea kidogo tuu kwenye plant bubu, na badae na ku bypass vyombo vya udhibiti; mzigo unawekwa vifungashio vile vile. 😊
 
As boss nikijua watakimbia nchi.🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…