Pombe gani hazikupi hangover at the same time zinakupa appetite ya kula?

Hyo HC nmeshainywa na mwana kipnd Cha nyuma...wote tukaumwa tumbo...sijawahi kufikiria kuirudia fake zipo nyingi mtaaani...Bora bapa tu hata kama litaniamsha na HO
 
Ballentine na Jagermeister kwa pombe kali hazikati hamu ya kula na kujaza tumbo.

Shots kadhaa za tequilas limao na chumvi na heineken ya kuzugia kichwa kinakaa vyema.

Kunywa beer nyingi hapana, siku hizi naona ushamba tu, kukojoa kama mgonjwa wa diabetes na tumbo kujaa hapana aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…