Pongezi kwa CDF Jenerali Venance Salvatory Mabeyo

Ungekuwa na uhalali hata wa kuona vitabu vya kijeshi vya sheria usingekuwa unaongea upuuzi unaongea.
Uhalali ni nini na unathibitishaje sina uhalali na kwamba hilo dai si ubaguzi wako tu kwa watu wasiokubaliana nawe?
 
Ndiyo kusema mnataka naye ajiuzulu, kama hivi majuzi alivyofanya Mjuzulu JYN?
 
Hivyo ni vya Colombia au Mexico?

Hao ni wakuu wa majeshi? Majenerali?

Unaelewa Chaplain ni nini katika jeshi la Marekani?

Tanzania tuna Chaplain?

Kuna mtu kataja Yesu katika covers za hivyo vitabu?
Huo ni ujinga unaobishania.
Kisome kitabu chake kama hakina material potezea.
Kuvaa hijab kwa Rais vazi la kiislam sio ajenda kwenye urais wake.
Hivyo kama ujenerali kwenye kava sio issue jeshini kwake.
Kama umechafukwa toka povo
 
Kitabu cha dini kimeanza kwa ku pimp ujenerali kwenye cover, kazi isiyo ya kidini.

Mpaka hapo hujaona tatizo?
 
Ni kazi yako kuuonesha, ujinga wako ni kwamba kazi yako hiyo unanipa mimi.

Wewe si mjinga tu, ni mjinga mvivu.
Siko hapa kujadili ujinga wako,wala kujipa kazi zisizo na tija,umeweka hoja zako za kipuuzi waziwazi na waziwazi tumekuonesha haupo sawa...acha personal attacks,kama hoja zimekuishia fanya mambo mengine.
 
Wewe hujaelewa kwamba najadili principle, si ninachotaka mimi.

Jifunze kusoma kwa ufahamu kwanza.
Principle ipi unayojadili wewe? Unataka watu waishi kwa principle zako binafsi?
 
Kitabu cha dini kimeanza kwa ku pimp ujenerali kwenye cover, kazi isiyo ya kidini.

Mpaka hapo hujaona tatizo?
Unajua maana ya ushuhuda? Kukiri mambo makuu ambayo Mungu amekutendea mbele ya ulimwengu....hiko cheo kuwepo hapo tu ni ushuhuda tosha.
 
Hivyo ni vya Colombia au Mexico?

Hao ni wakuu wa majeshi?

Unaelewa Chaplain ni nini katika jeshi la Marekani?

Tanzania tuna Chaplain?

Kuna mtu kataja Yesu katika covers za hivyo vitabu?
Kwa hio issue ni kuandikwa yesu kwenye cover ama vitabu vya dini? Na issue nyengine ni mwanajeshi ama lazima awe wa Colombia na Mexico?
 
Kitabu cha dini kimeanza kwa ku pimp ujenerali kwenye cover, kazi isiyo ya kidini.

Mpaka hapo hujaona tatizo?

Unapojaribu kutenganisha dini na jeshi, rejea kwanza kwa Jemedari Mkuu Mungu wa Majeshi.
 
Wewe umetoa jibu la kueleweka
Ila sioni kama kuna ulazima wa kuficha wenzetu Wana CV zilizoshiba wanaweka vitu wazi
 
Majenerali huwa wanaruhusiwa kwenda mpaka miaka 70 kama Afya inaruhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…