Haha hahaha hahaha hahaha hahaha hahahaNdugu yangu unaweka uzi wa mpira muda wa kujamiiana? Naona unataka watu tupige kimoja chali kisa presha ya mechi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha hahaha hahaha hahaha hahaha hahahaNdugu yangu unaweka uzi wa mpira muda wa kujamiiana? Naona unataka watu tupige kimoja chali kisa presha ya mechi.
Eeh tena 🤣🤣🤣🤣🤣 halafu alikuja akasoma na akakulike alicheka 😅. Akasema mbona sikumtag ID yake eti au wako wengi 😛😄😄😄. Haya chungulia na mengine best.Huwa huniangushi, sasa nakupa siri za simu za bwana shemeji maana inaelekea kupona leo 😅 😅
Kaza moyo maana kuna nyumba tisa amejenga sijui unajuaa siri ya kwanza hiyo 😂😂😂
Wamepata pa kujifichia ukweli ji kwamba wametathimini timu yao na majeruhi walio nao wakaona kabisa kwa Yanga hii watakula tena mkono!Huo uwanja ushafungwa na serikali na kibali ni siku ya mechi tu sio mazoezi, mbona kwenye mechi yao azam walienda wakazuiliwa leo wanajitoa akili.
Aah kapita, mwambie bado mwanangu sana nimetoa siri moja tu, natoa siri za maendeleo tu za vurugu sitoi 😂😂Eeh tena 🤣🤣🤣🤣🤣 halafu alikuja akasoma na akakulike alicheka 😅. Akasema mbona sikumtag ID yake eti au wako wengi 😛😄😄😄. Haya chungulia na mengine best.
Huyu mtoto wa Mwigulu, ni mnene hadi sio poa.Mara ya mwisho timu hizi zilipokutana tarehe kama hii ilikuwa 8 Machi 2015 ambapo Simba aliibuka na ushindi wa 1-0.
Gusa achia twende kwao au Ubaya ubwela?View attachment 3263067
Nyie si mmegoma endeleni sisi tunachojua tuliingia uwanja,nyie hamkuja tunadai point tatu. Nyie endeleeni na drama zenu na bodi ya ligi.Sasa hivi inatakiwa kuwa dakika 10 toka mpira umeanza na nasikia kuna wajinga wamejiapiza mechi lazima ichezwe. Vipi Arajiga anachezeshaje huko?
Makavuli
joseph1989
Tuonyeshe clip ya Arajiga akianzisha mchezo.Nyie si mmegoma endeleni sisi tunachojua tuliingia uwanja,nyie hamkuja tunadai point tatu. Nyie endeleeni na drama zenu na bodi ya ligi.
Tushamaliza sisi, nyie endeleni na mgomo wenu.Tuonyeshe clip ya Arajiga akianzisha mchezo.
Kinyonge sana mkuuTushamaliza sisi, nyie endeleni na mgomo wenu.
Tushamaliza sisi tulitaka tu kudocument hiki cha leo so pakuanzia na kumalizia tunapo.Kinyonge sana mkuu
Ulikuwepo uwanjani?Tushamaliza sisi tulitaka tu kudocument hiki cha leo so pakuanzia na kumalizia tunapo.
Nilikuwepo.Ulikuwepo uwanjani?
Yanga ina uwanja?Timu yenyewe haina hata uwanja, inataka kitu cha watu kiwe kama chake, si ajenge kama ni rahisi awe anapigia mazoezi, yake adhubutu, kufanya ujinga wake ataona??
Point 3 lazima utoe ijayo mechi ikipangwa siyo ya mezani,na mkigoma mnakatwa nye hizo 3Nyie si mmegoma endeleni sisi tunachojua tuliingia uwanja,nyie hamkuja tunadai point tatu. Nyie endeleeni na drama zenu na bodi ya ligi.
Tushamaliza hiyo mechi mtacheza na bodi ya ligi labda, tunajua tulifika uwanjani hamkufika. Halafu mbona tunalazimishana nyie si mmegoma endeleni kugoma,ila Yanga tushamaliza mechi ya leo tunafikiria mechi nyingine.Point 3 lazima utoe ijayo mechi ikipangwa siyo ya mezani,na mkigoma mnakatwa nye hizo 3
Mmeenda uwanjani,vipi msimamo wa ligi mmeongeza points au ni zilezileTushamaliza hiyo mechi mtacheza na bodi ya ligi labda, tunajua tulifika uwanjani hamkufika. Halafu mbona tunalazimishana nyie si mmegoma endeleni kugoma,ila Yanga tushamaliza mechi ya leo tunafikiria mechi nyingine.
Msije tu mkawazuia Coastal J4 kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechiTushamaliza hiyo mechi mtacheza na bodi ya ligi labda, tunajua tulifika uwanjani hamkufika. Halafu mbona tunalazimishana nyie si mmegoma endeleni kugoma,ila Yanga tushamaliza mechi ya leo tunafikiria mechi nyingine.
Yaah tumeongeza nyie endeleni kugoma maana mmegomea mechi zote zilizo bakia au huja msikia Magori.Mmeenda uwanjani,vipi msimamo wa ligi mmeongeza points au ni zilezile