President Samia on a panic mode

Sema hakubariki Kwa watanganyika wote isipokuwa machawa!

Kumbuka chawa sio mtu ni mdudu kama wadudu wengine kama funza nk
Hilo la kutokukubalika ndiyo itakuwa kigezo kikuu kutokushinda uchaguzi ukiwa huru na haki.
Watanzania walikuwa wanamkubali mwanzoni.Lakini sasa hakubaliki na watanzania walio weng
 
Nauliza tu hivi kuna Imam mwanamke?
 
Nipe kiongozi mmoja mwanamke kwenye Nchi za kiarabu (shart awe,Rais,makamu au waziri) nikuonyeshe shuka la chuma
 
Kama vile wanavyofanya Taliban kule Afghanistan siyo sahihi kwa mujibu wa Uislam?
 
Kwahiyo kama ulitoa tukusaidieje?
 
Embu kwa katiba hiyo twambie ni wap Msajili anauziwa kufanya hivyo mkuu
Kairudie kusoma tena, usisome Sheria yaa vyama. Soma katiba. Msajili kaanzishwa kwenye katiba kaenda kumalizikia kwenye Sheria. Ikifika kuputisha wagombea wala hahusiki kabisa. Yeye sio time huru. Japo uhuru wake una mashaka lakini sio tume.
 
Mwenye akili timamu hawezi kuuliza swali la aina hiyo.

Pale uwanja wa ndege kuna Swissport yupo tangu 1995 tangu enzi za Mkapa, kwa hiyo kauziwa uwanja wa ndege?.
Mkataba wa Swissport upo je wa Bandari umeshauona mbona hawautoi nasikia ni wa milele
 
Hivi hamuelewi kuwa Tanzania ni Republic na siyo democratic? Au mnajiliwaza tu?
 
Hivi unavyosema wakina kikwete na hao matapeli wa nchi wa kina makamba sijui nape wangemsadia vp???

Kwa taarifa yako Tanzania katiba yetu rais ndio kila kitu kama upo nje ya mfumo huna madhara yoyote.
Wazoefu wa goli la mkono
 
Panic mode is now activated... Thank you.
 
Dini ya kiislam inakataza kabisa mwanamke kuwa kiongozi. Samia ameshindwa kuheshimu dini yake. Tutampaje urais mwanamke asiyemuheshimu Mungu?
 
Kwa hiyo wewe unazipongeza rafu za uchaguzi badala ya kujadili kukomesha na kupata njia sahihi ya kuchagua na kupata viongozi halali wanaotokana na sanduku la kura?

Statements za namna hii inaonesha ni jinsi gani jamii yetu ilivyocurrupt, kila mtu chawa, ama kupongeza ama kuunga mkono viongozi wahalifu waliopatikana kwa njia ya rushwa.

Sa'sijui ni kwa faida ya nani!
 
Inapoteza nguvu zako hata kuwaza namna hii, anafanya kampeni ya kivitendo yenye kugusa wananchi moja kwa moja wa huko mikoani.

Sisi tunaoshinda nyuma ya keyboard humu mijini tutaendelea kulia pengine mpaka siku yetu ya mwisho juu ya uso wa dunia.
Pamoja na yote hayo kutimiza wajibu, Bado hana KIBALI.
Llijue hilo
 
Kwahiyo kama ulitoa tukusaidieje?
Na hii tena nilimshauri akapuuza kilichofuata kinajulikana

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…