Press ya Wazee wa Simba Imeniumiza sana kama Taifa tuna safari ndefu

Hiyo hujataka tu kuipata au huna uwezo wa kuipata kwani kwa mawazo yako huna tofauti na hao Wazee wa Simba.
 
Kugongwa na mtani mechi nne ni kugongwa tu sio sawa. Timu bado mbovu.....warekebishe timu kwa kusajili wachezaji wenye viwango vya juu na hadhi ya timu ili ushindani uwe kwa kiwango cha juu zaidi vinginevyo derby inayofuata watagongwa tena
 
Wakili Msomi Boniface Mwabukusi amepiga kelele juu ya hili, watu wanajali mpira kuliko hatma ya nchi.
Radio zote za Bongolalania na tv zake zikiongozwa na TBC mchana kutwa ni mpira tuu zaidi ya hayo ni mama kamwaga Hela mahali.
 
Hao wazee wamedhihilisha timu ya simba imejaa watu mbumbumbu tu. Na ndiyo maana hata Mangungu aliweza kushinda kirahisi, baada tu ya kumleta Caesar Manzoki siku ya uchaguzi wa klabu.
 
Acha hadaa kijana ,mbona ulimwacha mzee Mbowe akaandamana na familia yake peke yake ?ulikuwa wapi ?leo unatumia jina fake kuhadaa wajinga?
 
Mwafrika anaishi chini ya laana.

am not an African, but a Hebrew. Galatians 3:29
 
Mwafrika anaishi chini ya laana.

am not an African, but a Hebrew. Galatians 3:29
Usijitoe akili wewe. Mwanadamu yeyote, pamoja na dunia nzima viko chini ya laana. Hao Waebrania ndio kabisa walifanya ziada ya kujilaani wenyewe: ^Damu Yake iwe juu yetu na watoto wetu milele!^

Kristu alikufa ili kutuondolea hiyo laana (Galatia 3:13). Unapomwamini na kumfuata, unakuwa huru kweli kweli.
 
Sasa nimeamini nilichokiona kabla ya game ni kwanini hakuna chombo hatakimoja kimeiandika nimeamini sasa.
 
Ccm wameshinda tena na tena ona sasa mmenza kuwajadili wazee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ . Watanzani sisi mazuzu wallah. Zidhani kama dinian kuna Taifa la kijinga kama hili.
 
Elimu! Elimu! Elimu!
Hao wazee sura tu hawajitambui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ