Prigozhin na Wagner yake asitisha uasi

Kwa wale wanaojua mchezo wa drafti watakuwa wameshajua nini kinaendelea!
Kulalamika Kwa uongo, kutoa kafara Baadhi ya kete huku mlaji akilazimishwa Kula na kuchekelea!
Mwisho unaliwa mbele na nyuma na kingi inakaa katikati!
Hiyo michezo ina faida gan ? Ina maana intelligence ya Urusi ni dhaifu kiasi cha kuigiza civil wars ? Ebu tumien akil bas
 
Njia nzima waliachwa wapite bila kubughuziwa na mamlaka za kijeshi za Russia, nilitegemea kuona raia wengi wa Russia wakisimama pamoja na waasi ila haikuwa hivyo.

Hiyo inakupa picha gani?
Raia washaambiwa wakae ndan , unatokaj kwenda kusimama nao , hakuna muasi atakuruhusu uje krb yake kama hajammaliza adui kwenye eneo husika ( nchi ya russia nzima ) , maana hujui kama ni raia au ni mwanajeshi kaja kiraia ajilipue na nyinyi , Tumia akili vzr mkuu kuelewa yaiyotokea jana
 
Dogo gani? Unajifanyaga kila jambo unalijua vyema, acha ujuaji
Hata akikutajia jina utamjuwa ? Ww ili umcrush huyu jamaa na ww lete uhalisia wako uliopo huko Moscow , maana huyo dogo hutomjua hata akikutajia
 
Na kwann Putin hakumtaja Prigozhin kwenye hotuba yake yote?? Badala yake akawa anasema tu "Muhaini hasamehewi?".


Ni kweli Prigozhin alitaka kabisa kumsaliti rafiki yake wa muda mrefu???.




Ni nani Muhaini? Kwann Putin hakumtaja Moja Kwa Moja ?.
Unapoongea tunza akiba ya kesho , Putin ni shetan muuaji ila ni mtu smart mno kwenye kuongea , anajua kuna muda wa kucheza hutoeza cheka vzr , Ndio maana Putin kawachota wajinga wengi kwny hii vita yake chafu
 
Hapa ndio kina cemical Ally wanapotakiwa. Kama kweli walipanga uasi, hawastahili msamaha kabisa. Wasubiriwe wafike kambine kisha wamwagiwe bomu la sumu tumalize hii biashara na wagner ife mazima.

Putin unaniangusha.
Hahahaaa mahaba ya kijinga hayo
 
All in all,mwisho wa Prigozhin umefika,amevuka mipaka, suluhu pekee kwake ni kukimbia USA apewe hifadhi ya kisiasa na ukibaraka!!
Haaminiki yatakuwa ya Bin Laden
 
Hii ilikua asubuhi na kwenye rada zilionekana ndege za ofisi ya raisi moja ikielekea St Petersburg na nyingine kuelekea nchi jirani,baadae Putin alihutubia Taifa aliwa ndani ya Moscow so habari ya kua kaondoka ikaonekana sio kweli.
Alikuwa anapima upepo
 
Kaomba poo lkn ? Halaf mm sikutawala , Prigo ndo alitawala
 
Hio ya VON mbona sujaisikia BBC? au wanaogopa kuingelea swala la internet kuzimwa?
 
Wazungu hujali maslai kuliko historia , ndio maana UK , France , Italy na Germany wote wapo NATO , wale warusi hawana akili za kizungu kbs rangi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…