Private life ya mzee Mengi: Kumbe alikuwa anahonga wadada wengi wa mjini maelfu ya Dola za Kimarekani

Private life ya mzee Mengi: Kumbe alikuwa anahonga wadada wengi wa mjini maelfu ya Dola za Kimarekani

Weee kama kweli ameukata.
Kweli usililie uzuri lilia bahati.
Maua namuonaga ana sura personal sana
Ila aunt jaman khaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila madam anatupiga za kichwa......
Eti alikuwa anampenda sana na hatowahi kuja mpenda mwanaune kama alivyompenda.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hayo maneno yamekaa kimchongo zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulofa kazi kweli....mtu amelimbikiza utajiri halafu lionekane kosa kuhonga?!!! [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jaman khaaaah.
 
Mwenyezi Mungu anapokuinua kifedha basi ujue ndani yake pia kuna "haki" za wengine....

Matajiri wanawasaidia sana dada zetu kuishi vyema mijini.....
Kabisaaa yaan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787]
Yaan leo nilikua sehemu ya watu nlishindwa kujizuia, nlicheka hapo had watu wakawa wananishangaa tyuuu.
Jaman u kidampa kazi mweeeeeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
 
Hata sijaona tatizo lake! Sijajuwa dhumuni la thread?!
 
Aunt njoo tugawane tu msoto na jua hili linavyowaka...
Hapa naangalia harusi ya Tajiri Enna, mtu ametunzwa million 138.....
Hivi wenzetu hela wanatoa wapi jamani....
Hili ni group la "wajomba mareshi", rose d, shuu saloon, kitasa, morankiss husna bona...
Mawazo ninayo hapa.

Jaribu FOREX TRADING unaweza toka!!!!
 
Amini nakuambia.
Wanaume wenye pesa na majina huwa wanategwa na kuwindwa sana ila hawajui kuwa wanawindwa.

Mwanaume anaingia king mwenyewe, anaanza mchakato kumbe mtu ametegwa akategeka.
Alafu cha kushangaza huyo huyo aliyemtega eti anaaza kukasirika mwanamke mwengine akimtega huyo big boy wake
 
Ila Dokii alikuwa ana mapepo kama ya mfalme Zumaridi wa Mwanza
 
Madam anasema alikuwa katoka zimbabwe hata mengi mwenyewe hakuwa anamfaham, from there meng akajua sijui kasoma masuala ya vipindi, akamwambia ampe kazi halafu mshahara kiduchu kama 30000 hivi. Madam akakataa baadae akawaza sasa kasoma why asifanye tu, basi akaanza kazi bwanake akamwambia achague kazi au yeye, madam akachagua kazi.
Anasema akafundishwa vingi akakutanishwa na watu, baadae akamsimamisha kazi, madam anadai aliumia ila eti, eti lakini anadai alimsimamisha eti ndipo aje amtokee maana kumtokea wakati kamwajili isingekuwa sawa..
Alipofika kipengele hicho tu ndio nikajua ni chai yenye tangawizi kali na pili pili manga,

Twawajua mbinu zao wala hawatusumbui, alifanya research akajua Mzee hua anaenda Gym gani na saa ngapi na yeye akaanza ratiba sawa ili wawe wanaonana, ukikutana na familiar face kila siku obviously kuna siku mtasemeshana tu, akajifanya kama mtu anayetaka kazi lakini target yake ni kumuweka karibu Mzee hadi jambo lake lilipotiki.
 
Alipofika kipengele hicho tu ndio nikajua ni chai yenye tangawizi kali na pili pili manga,

Twawajua mbinu zao wala hawatusumbui, alifanya research akajua Mzee hua anaenda Gym gani na saa ngapi na yeye akaanza ratiba sawa ili wawe wanaonana, ukikutana na familiar face kila siku obviously kuna siku mtasemeshana tu, akajifanya kama mtu anayetaka kazi lakini target yake ni kumuweka karibu Mzee hadi jambo lake lilipotiki.
Hii mbinu tunaita ulimbo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom