Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Iweke sawa yaani isawazishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Mengi had maua sama katoboa kupitia yeye.
Uwiiiiih.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iweke sawa yaani isawazishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Mengi had maua sama katoboa kupitia yeye.
Uwiiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaaaa kumbe wewe hufai.
Asa mbona siku zote hujanishtua mamilionea wa jf?
Ila aunt jaman khaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weee kama kweli ameukata.
Kweli usililie uzuri lilia bahati.
Maua namuonaga ana sura personal sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila madam anatupiga za kichwa......
Eti alikuwa anampenda sana na hatowahi kuja mpenda mwanaune kama alivyompenda.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hayo maneno yamekaa kimchongo zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jaman khaaaah.Ulofa kazi kweli....mtu amelimbikiza utajiri halafu lionekane kosa kuhonga?!!! [emoji1787][emoji1787]
Kabisaaa yaan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenyezi Mungu anapokuinua kifedha basi ujue ndani yake pia kuna "haki" za wengine....
Matajiri wanawasaidia sana dada zetu kuishi vyema mijini.....
Yaan leo nilikua sehemu ya watu nlishindwa kujizuia, nlicheka hapo had watu wakawa wananishangaa tyuuu.[emoji1787]
Eeeeeeh ngoja nizamie huko youtube nikajionee vizuri mie ubuyu pambee.Ziko you tube.... nashindwa kuweka wananitafakarisha sana.
View attachment 2181006
View attachment 2181007
Maua sama alishawahi kupita na Machache. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iweke sawa yaani isawazishe
Huyo dada alikuwepo zama hizo?Kabisa na moyo wa kuhonga wanao.
Nadhani iko ndani ya damu yao.
Motie ndo alikuwa anamuweka Sachko mjini na kumpa jina.
Alikuwepo.Huyo dada alikuwepo zama hizo?
Aunt njoo tugawane tu msoto na jua hili linavyowaka...
Hapa naangalia harusi ya Tajiri Enna, mtu ametunzwa million 138.....
Hivi wenzetu hela wanatoa wapi jamani....
Hili ni group la "wajomba mareshi", rose d, shuu saloon, kitasa, morankiss husna bona...
Mawazo ninayo hapa.
Alafu cha kushangaza huyo huyo aliyemtega eti anaaza kukasirika mwanamke mwengine akimtega huyo big boy wakeAmini nakuambia.
Wanaume wenye pesa na majina huwa wanategwa na kuwindwa sana ila hawajui kuwa wanawindwa.
Mwanaume anaingia king mwenyewe, anaanza mchakato kumbe mtu ametegwa akategeka.
Alipofika kipengele hicho tu ndio nikajua ni chai yenye tangawizi kali na pili pili manga,Madam anasema alikuwa katoka zimbabwe hata mengi mwenyewe hakuwa anamfaham, from there meng akajua sijui kasoma masuala ya vipindi, akamwambia ampe kazi halafu mshahara kiduchu kama 30000 hivi. Madam akakataa baadae akawaza sasa kasoma why asifanye tu, basi akaanza kazi bwanake akamwambia achague kazi au yeye, madam akachagua kazi.
Anasema akafundishwa vingi akakutanishwa na watu, baadae akamsimamisha kazi, madam anadai aliumia ila eti, eti lakini anadai alimsimamisha eti ndipo aje amtokee maana kumtokea wakati kamwajili isingekuwa sawa..
Hii mbinu tunaita ulimbo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alipofika kipengele hicho tu ndio nikajua ni chai yenye tangawizi kali na pili pili manga,
Twawajua mbinu zao wala hawatusumbui, alifanya research akajua Mzee hua anaenda Gym gani na saa ngapi na yeye akaanza ratiba sawa ili wawe wanaonana, ukikutana na familiar face kila siku obviously kuna siku mtasemeshana tu, akajifanya kama mtu anayetaka kazi lakini target yake ni kumuweka karibu Mzee hadi jambo lake lilipotiki.