Private life ya mzee Mengi: Kumbe alikuwa anahonga wadada wengi wa mjini maelfu ya Dola za Kimarekani

Private life ya mzee Mengi: Kumbe alikuwa anahonga wadada wengi wa mjini maelfu ya Dola za Kimarekani

Ss mtu mzima aka bilionea akikumiliki hataki uwe na mtu! Mi tuwe na mahusiano,unipe maisha nifanye yangu lkn ujue ipo siku nitataka kuwa na familia
[emoji3][emoji125]
Huna hadhi ya kudate bilionea, labda mwenye pesa za majini
 
Endelea kuwa na mashaka maana wewe ni mtu wa mashaka mashaka.
Nayajua kwasababu aliyaongea kwenye kipindi cha salaam na ... Kilichoruka mwaka jana
Badilika bhana haipendezi man kuwa na mambo ya kiswahili swahili
 
Kwenye miaka ya 90 alituita vijana wa wakati huo ambao hatukuwa na kazi Dar. Kulikuwa na matangazo mbali mbali kwenye vyombo vyake vya habari kwamba siku fulani tuonane Diamond Jubilee pale. Basi tukajitokeza. Akaja yeye na wasaidizi wake. Akasema atatusaidia pesa. Tuunde vikundi. Akaviita SKUVI (shujaa wa kupiga umaskini vita). Basi tukaunda SKUVI kibao, akatoa pesa. Na kulikuwa na safari ya kwenda Nairobi ili kujifunza toka JUAKALI, wamachinga wa huko. Mengi alikuwa na moyo mzuri sana.
Familia ya Marehemu Mzee MENGI wamejaliwa karama ya kusaidia jamii. Nikikumbuka sherehe ya Walemavu hakika ninishara ya upendo usiofutika. Rest in Eternal Life Mr. Reginald Mengi.
 
Umeingiaje hapa bila bundle?
Tafuta pesa acha tabia za kimaskini kujadili waliofanikiwa, unakuta mtu kapanga chumba kama stoo kafanikiwa kununua bando, badala ya bando lile kulitumia kutafuta fursa mtandaoni anamjadili Mengi, Manji, MO na wengine wa level hiyo
 
Madam ritha anakwambia ametembea hii dunia amekula raha kisa mzee mengi. Hakuna la kumshangaza mengi alimpeleka kote.
Anasema mengi alimpenda madam kisa tu walikuwa wanakutana gym hapo madam katoka zimbabwe masomoni anashangaa watu wanamshobokea mengi wakati yeye hajui hata mengi ni nani.
Mzee akajisogeza kwa madam, na madam anakwambia alikuwa na bwanake huyo foreigner ana ela kinoma anasukuma.ndinga za maana na bwanake hataki afanye kazi.
Mzee eti akamuuliza unanijua mimi nani, madam akamwambia skujui hata 🤣🤣
To cut the story short, madam anadai hatowahi kuja mpenda mwanaume kama alivyompenda mzee. Na anadai anajua hata mzee alikuwa nampenda mpaka nyakati za mwisho.
Hiyo paragraph ya mwisho sio kweli, kipindi Mengi anakamua Kiba nae alikuwa ana msaidia, Madam alikuwa pale sababu ya hela ya mzee ila hajawahi kumpenda Mengi.
 
Hiyo paragraph ya mwisho sio kweli, kipindi Mengi anakamua Kiba nae alikuwa ana msaidia, Madam alikuwa pale sababu ya hela ya mzee ila hajawahi kumpenda Mengi.
The way alivyokuwa anamzungumzia hadi akawa emotional na kutoa machozi design niliona labda kuna ukweli. Hadi alikumbushia mara ya mwisho kuonana naye na it seems alikuwa na salama mwenyewe maana salama ndiye alimkumbusha hilo tukio kuwa sijui walionana wakati wanamuaga ruge na madam alipoona mzee alivyodhoofu akalia siku nzima akawa anadai eti aliona death imemzunguka mzee.
She was so emotional wakati anamzungumzia kuliko hata wakati anazungumza alivyokuwa raped.
 
Back
Top Bottom