Prof Anna Tibaijuka: Hili sakata la DP world litamuangusha Rais Samia na serikali yake

Endeleeni kujidanganya huko makanisani kwenu. Mtake msitake Mama tunaye hadi 2030 inshaallah.
 
Kwasababu hajaunga mkono sio
Hawezi kutuunga mkono na wakati anajua watanzania tunamdai.
Tibaijuka ni mtu wa ovyo sana. Huyu si ndiye aliyehongwa pesa za ESCROW halafu akajidai eti ni hela ya mboga tu? Mbona alipokuwa kwenye kundi la mafisadi hatukumsikia akiongea? Uzalendo na nchi hii huyu kautoa wapi?
Ndo hapo uone ujinga wa baadhi ya watanzania. Mtu kama Tibaijuka ambae amelitia hasara taifa kwa kuhongwa mamilioni ya shilingi.

Leo hii anahongwa tena ili aichafue serikali na raisi kwa masilahi yake ya kisiasa afu wajinga wanamuona mwokozi wao.
 
Mtu akisema ukweli basi atakuwa amehongwa au ni mpinzani!!???
Tukubali kukosolewa au kusikia yale ambayo hatupendi kuyasikia.
 
P
Poor thinking
 
Nimsifie mtu anaekufuru kuwa M10 ni za kununua mboga, huku millions ya watanzania vijijini wanashindia uji usiokuwa na sukari?

Afu eti leo na yeye anajifanya anawapigania aliowadhihaki enzi zake!
Wewe tunakujua ni chawa wa serikali yeyote mbovu, leo Tibaijuka akigeuka kuusifia mkataba utaanza kumpamba
 
Nyie ni wajinga san na mmekubali ujinga wenu!! Yaan mtu akipinga mamb ya hovyo mnakimbilia kusema anatumiwa na watu flani!!! Jibuni hoja shubaamit!! Yaleyaleeee awamu ile ukisema ukwel na kukosoa unaambiwa unatumiwa na mabeberu!!
 
Wewe tunakujua ni chawa wa serikali yeyote mbovu, leo Tibaijuka akigeuka kuusifia mkataba utaanza kumpamba
Kwa vile mkataba una faida kubwa kuliko hasara, basi akiuunga mkono na mimi nitamsifia kwa hilo. Kumbuka hata Mungu ukimsifu atakupenda.

Ila kama ataendelea kutumiwa na wakenya, wakwepa kodi na wapitisha madawa ya kulevya bandarini kwa ahadi ya kupewa mamilioni mengine ya kununua mboga na kuungwa mkono 2025. Hapo nitapingana nae hadi mwisho.

Hiki ndio kipindi ambacho bandari za kenya zote zitageuka kuwa soko la kuuzia samaki tu, na sio bandari bora tena katika East Africa nzima kama wanavyotaka iwe.
 
These are distractors kumchanganya mwananchi wa kawaida ambaye ni mimi na wewe:

- kwanini hawakutoa maelezo kabla ya mkataba ili tuelewe tusipanic na kukurupuka.

- Hii mijadala inayofanyika sasa kwene media and all that ni brain washing tu kuwakamata masikio, contract imekua endorsed tangu oct 2022.And once signed miluzi na kelele hazibadili kiti, refer TICTS

- Mkataba huu HAUHUSU zanzibar

- Ni clear mpaka sasa kua duration ya mkataba iko open ended.
 
Maa wa Mboga ameshastaafu Sasa han mpango huo.Usimsingizie mam mboga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…