Prof Anna Tibaijuka: Hili sakata la DP world litamuangusha Rais Samia na serikali yake

Anafikiri mkombozi huyu?

Huyi mama mwanga.

Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Mbona yasemekana huyu mama amekula bilioni 2 ili atoe comments za kupinga huu mradi kwa sababu pale bandari kuna kampuni fulani DP world ikija wao watakosa kazi?
Yaani milioni elfu mbili ili atoe maoni? Kichwani kwako kumejaa kamasi
 
Mbona yasemekana huyu mama amekula bilioni 2 ili atoe comments za kupinga huu mradi kwa sababu pale bandari kuna kampuni fulani DP world ikija wao watakosa kazi?
Kupinga tu anapewa bilioni 2, kwani ana ushawishi gani nchini wakustahili ilo donge nono?.
Hata hivyo kwake hiyo ni hela ya mboga tu.
 
Haka kabibi kamekaa serikalini miaka zaidi ya 30 tulichoambulia watanzania ni kutuibia bilioni 10 za escrow leo kanakuja na upuuzi shenzi sana. Arudishe hela walizowaibiwa watanzania hawa ndo majizi wenyewe.
 
Jikite kwenye alichozungumza
 
Weka ushahidi hapa
 
Ama kweli JF imevamiwa!.
Mtu yuko huru kutoa maoni yake kama katiba inavyotaka, badala ya kujibu hoja zake unamporomoshea matusi mleta hoja.
Hoja ujibiwa kwa hoja si viroja yakhe.
Mbona weye yakhe hujaheshimu maoni yangu?yale ndio maoni na hoja zangu
Nawe sasa kanusha kama sio mwizi, kanusha kama sio mrundi na kanausha kama hataki kuleta fujo tanzania kwa hoja halafu tutajadili

Mie expert wewe senior sasa nani kavamia jf?
 
Dhibitisha tuhuma zako dhidi yake,sio speculations ili nianzie hapo kuheshimu maoni yako.
 
Pimbi mkubwa.
 
Milioni 10 ya mboga! Pumbavu nshomile mkubwa huyo fisadi papa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…