Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Aiseeee !Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.
Amesema hayo kwa hoja ya kwamba watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.
Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
😁😁😁Huwezi kufanya uchafuzi wa kura vile tena kwa hela ya hao hao wapiga kura Mungu akakuchukulia poa tu.
Michigan kulitokea nini au unaamini ule uongo wa Trump?Awaulize Michigan USA na mail votes
Yule professor unadhani anaweza ongea kitu bila kufanya research?Huko kwenye digital ndo CCM itashinda asubuhi na mapema,hata kura hazijamaliza kupigwa CCM washaweka ngoma kati.
Prof.kasahau tume huru na katiba.
Kauli yako ya"kama hautoingiliwa kwa namna yeyote ile"tayari hata wewe umeshatia mashaka ambayo kimsingi huko kuingiliwa ndo mlango wenyewe wa CCM kutoboa mapema.Yule professor unadhani anaweza ongea kitu bila kufanya research?
Uchagauzi wa kidigitali utakua wa haraka na kuaminika kama hautoingiliwa kwa namna yoyote ile
Nenda bank kachezee mfumo uibe helaLabda kama hukumuelewa vizuri. Lakini kama ndio mawazo yake hayo Prof, ima anajitoa ufahamu makusudi ili tuje kuambiwa uko mradi mbeleni wa tume ya uchaguzi wa kura kupigwa kidigitali. Prof hajui ya Bush na Al-goore?
Kuiba kura kidigitali itakuwa rahisi sana maana kuchezea mfumo wa kidigitali hahitaji gharama wala manpower kubwa. Kutumia mfumo wa kizamani kama mataifa mengine inaweza kuwa na gharama kubwa sana. Zingatia suma na nduguze kudaiwa kushindwa kulinda tanzanite hawana imani nao tena, iko hofu ya kulipiza kuchafuliwa.
Marekani hawajawahi kuchezea kura we matagaLabda kama hukumuelewa vizuri. Lakini kama ndio mawazo yake hayo Prof, ima anajitoa ufahamu makusudi ili tuje kuambiwa uko mradi mbeleni wa tume ya uchaguzi wa kura kupigwa kidigitali. Prof hajui ya Bush na Al-goore?
Kuiba kura kidigitali itakuwa rahisi sana maana kuchezea mfumo wa kidigitali hahitaji gharama wala manpower kubwa. Kutumia mfumo wa kizamani kama mataifa mengine inaweza kuwa na gharama kubwa sana. Zingatia suma na nduguze kudaiwa kushindwa kulinda tanzanite hawana imani nao tena, iko hofu ya kulipiza kuchafuliwa.
Prof anasema kweli kabisaAliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.
Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.
Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Magufuli aliua demokrasia yetu, lakini aidhuru na yeye kafa...tuna nafasi ya kurejesha demokrasia na uhuru wetu.Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.
Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.
Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
MMU Leo.Source ya habari? Na alizungumza akiwa wap?!! Maana sidhan Kama yupo nchini huyu Mwamba
Na ni rahisi sana kujulikana ukiiba kidigitaliSema labda aseme kuwe na uwazi na Uhuru hata zikija digitali Kama hamna uwazi wataiba Tena kirahisi zaidi.
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.
Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.
Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Hapana, vinginevyo uthibitishe kwamba watanzania wote ni wajinga. Kwa kuwa wewe mwenyewe umekubali ni mjinga basi peke yako ndiyo mjinga.Huyu Prof Assad ana akili mno. Hakustahili kuzaliwa nchi ya wajinga kama Tanzania.
Bush na al gore , digital tech ilikuwa haija advance kama sasa , wala hukukuwa na social media ,ambayo ni mwiba mkali sana kwa serikali dhalimu,Labda kama hukumuelewa vizuri. Lakini kama ndio mawazo yake hayo Prof, ima anajitoa ufahamu makusudi ili tuje kuambiwa uko mradi mbeleni wa tume ya uchaguzi wa kura kupigwa kidigitali. Prof hajui ya Bush na Al-goore?
Kuiba kura kidigitali itakuwa rahisi sana maana kuchezea mfumo wa kidigitali hahitaji gharama wala manpower kubwa. Kutumia mfumo wa kizamani kama mataifa mengine inaweza kuwa na gharama kubwa sana. Zingatia suma na nduguze kudaiwa kushindwa kulinda tanzanite hawana imani nao tena, iko hofu ya kulipiza kuchafuliwa.
Nani alikuwa na uthubutu wakati mwamba yu hai?Naye kasubiri Jamaa aondoke ndio aseme ya moyoni?.
Atasubili mpaka atakufa bila kuuona huo mfumo.Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.