Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Nenda bank kachezee mfumo uibe hela
Marekani hawajawahi kuchezea kura we mataga
Hujui siasa za kimataifa
Marekani waliituhumu Urusi kwa kumdaidia Trump kuiba kura kidigitali na kumpa udhindi.Prof anasema kweli kabisa
Bush na al gore , digital tech ilikuwa haija advance kama sasa , wala hukukuwa na social media ,ambayo ni mwiba mkali sana kwa serikali dhalimu,
Digital is the way forward sio haya maboksi ambayo watu Wanayachezea
Mtatuhumu kila mtu safari hii!!!Marekani wanapiga kura kidigitali na bado wanatuhumiana wizi.Trump na Biden wanatuhumiana kuhusu hilo
Yawezekana Profesa anachomekea kupima upepo kuna watu wanajianda kuchota pesa kupitia mradi wa kigitali wa kupiga kura.Hii miradi hewa hewa hii isiyoguda maisha ya wananchi walio wengi kuns wakwapuaji wansjipanga hapo
Kwani siyo Professa??Uchaguzi wa digitali ndio huru na haki? Eti huyu naye ni Prof
Hoja hapa ni kwamba hakuna linaloshindikana as long limetengenezwa na mwanadam,sheria ziwekwa ili kucontrol tabia mbaya ya mwanadam.Kwa hyo hata unachofikiria ww hakiwez kuwa suluhisho.Maoni ya prof yanaweza kuwa bora kuliko mfumo tulionao sasa.Wambie wafanyakazi wa Bank na uwahakikishie watalindwa wakiaba utawalinda uone. Zitaibiwa alfu wateja watakuwa treated kama bank iliyo filisika. Maisha ya endelea sembuse uchaguzi. Hapa miaka 4 haitoshi watu wanatafuta mikakati ya mitano zaidi.
Kwani siyo Professa??
The Bold Man saidAliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.
Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.
Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Ile ya mwaka 2020 ilikuwa kufuru. Ndio maana Mungu kaisafisha nchiHuwezi kufanya uchafuzi wa kura vile tena kwa hela ya hao hao wapiga kura Mungu akakuchukulia poa tu.
Kufuru sana mwenye akili timamu huwezi kushanikia ujinga ule asilaniIle ya mwaka 2020 ilikuwa kufuru. Ndio maana Mungu kaisafisha nchi
Kuongea ukweli mtupu.
Mlivyozea kpora chaguzi unafikiri wastarabu wanaokufadhili wana ujinga huoDanganywa wewe!
Mlivyozea kpora chaguzi unafikiri wastarabu wanaokufadhili wana ujinga huo
Apeleke upuuzi wake huko. Suala la kura ni la kidemokrasia na ni hiari. Kama haridhishwi na zoezi hilo katika Nchi hii akatufute Nchi ya kuishi yenye kupiga kura kidijitali, lakini kwa sasa utaratibu huo haupo katika Nchi hii. Yeye ni nani anyway.Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.
Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.
Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Sio kweliMarekani waliituhumu Urusi kwa kumdaidia Trump kuiba kura kidigitali na kumpa udhindi.
Nchi mbili duniani ndio magwiji wa kuingilia mifumo ya upigaji kura ni Urusi na Ukraine.Hao wakilipwa pesa ndefu waweza ingilia mfumo wowote wa kupiga kura popote ulipo duniani uwe wa kupiga au kuhesabu kura
Nchi nyingi zimeukimbia huo mfumo wanapenda tu wa manual ambao kura huhesabiwa manually vituoni na kubandikwa hapo hapo kituoni baadaye kujumlishwa .Hivyo mtu akiibiwa rahisi kujua aliibiwa kituo kipi
Ndio maans Tanzania utasikia tu kelele ohh tumribiwa kura ukimwambia onyesha ni kituo kipi hawezi onyesha sababu muongo.Ushahidi wote uko vituoni
Kwa hili Profesa kapota aulize wapinzani kama wanasema waliibiwa kura waorodheshe vituo walivyoibiwa
Mbona hakukuwa na mabadiliko kabla yake?Kinara wa wizi wa kura Mungu kamlipa stahiki yake, huenda tukaona mabadiliko NEC
Sasa bunduki hukuziona !?Naye kasubiri Jamaa aondoke ndio aseme ya moyoni?.