Hii inashangaza kutoka kwa mtu kama Assad. Huu uchaguzi watu wanashinda vituoni kulinda kura na bado wanalalamika wizi ndio. Digital ndio kutakuwa na malalamiko mengi tena .Uchaguzi wa digitali ndio huru na haki? Eti huyu naye ni Prof
Huyu mzee namuonaga km mwanaharakati fulani.Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.
Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.
Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Mjinga hana lolote huyo. Udini umemkaa. Nimemsikia akizungumzia mtu anaitwa Salehe. Ukimuangalia anamtetea Salehe kwa sababu ya dini yake na si lolote.Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.
Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.
Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Kwa nini malalamiko ya wizi wa kura yapo sana kwenye machine na kwa wanao hisabu kwa mkono hayana nguvu.Marekani hawajawahi kuchezea kura we mataga
Hujui siasa za kimataifa
Trump alilalamikia kura za manual (za posta), za digital hakua na malalamiko nazoKumbuka Marekani walitumia huo mfumo lakini bado Trump alilamika kuwa aliibiwa kura sasa sijui kama hiyo ni hoja au vp prof yeye apumzike tu aache wananchi wakachague viongozi wao
Kama nawe ni mjinga unawezaje kugundua mtu mwenye akii.Huyu Prof Assad ana akili mno. Hakustahili kuzaliwa nchi ya wajinga kama Tanzania.
Mjinga hana lolote huyo. Udini umemkaa. Nimemsikia akizungumzia mtu anaitwa Salehe. Ukimuangalia anamtetea Salehe kwa sababu ya dini yake na si lolote.
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Nenda youtube global Tv muandike tu Prof Assad live watakuletea video ya presentation yake leo kuhusu rushwa nchini iliyofanyika New Africa Hotel leo hiiSource ya habari? Na alizungumza akiwa wap?!! Maana sidhan Kama yupo nchini huyu Mwamba
Hii inashangaza kutoka kwa mtu kama Assad. Huu uchaguzi watu wanashinda vituoni kulinda kura na bado wanalalamika wizi ndio. Digital ndio kutakuwa na malalamiko mengi tena .
Ni rahisi mtu kusema kompyuta imebadilisha matokeo na watu wakamwamini kirahisi kuliko kusema mawakala wote wamepewa pesa kubadilisha matokeo!
Marekani wanalalamika juu ya upigaji kura kidigitali kuna watu wameiba hoja yake haina nguvuSema labda aseme kuwe na uwazi na Uhuru hata zikija digitali Kama hamna uwazi wataiba Tena kirahisi zaidi.
Mkuu mm Sexless umenionea, kuniniungajisha kwenye komenti yako, maana nimeunga mkono kama wewe alichokisema Prof Assad.Certified idiot
Hv unazijua siasa za apa bongo land kwa kukuokeza tu hairuhusiw kuyangaza matokeo tofauti na ya NEC na pia hauruhusiw kuhesabu
Ukipost tu kesho unaitwa central mawakala wa upinzan hawaruhusiw kuingia vituoni wanabak CCM tu wanahesabu afu bado unaleta fyoko KMMK siend kupiga kura ng'o
Huyo BBC asitusumbue kwani dijitali haiwezi kuwa fraudulent? Mambo ya IT atuaachie sisi wabobezi yeye ahangaike na CR na DR tu!Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.
Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.
Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Kuna jamaa yangu 1 yeye jina lake lilienguliwa mara ya kwanza ikabidi akahonge hela zaid ya milioni 20 jina lake lirudi, well jina likarudi lakini kilichokujakutokea analia mpaka sasa., pigwa chini kuleAliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.
Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.
Aidha amesema ataweza kushiriki pindi mfumo mzima wa upigaji kura ukiwa wa kidigitali. Kwa kuwa ilivyo hivi sasa kuna udanganyifu mkubwa hivyo upigaji kura hauna thamani.
Huyu Prof Assad ana akili mno. Hakustahili kuzaliwa nchi ya wajinga kama Tanzania.