Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku


Hahah ile ni wazee walimchapa bomu la 'nyuklia'
 
Yeye mwenyewe anaonekana kama ni Mgonjwa tayari.
 
Uchawi ni Kula hovyo.
Wewe Mama Kubwa usidhani unavyoishi wewe ndo watu wengine wanavyoishi. Kama wewe unakula karoti na hoho kama lunch endelea hivyo usilazimishe wengine wawe kama wewe. Punguza ushauri.
 
ule usile, vuta sigara usivute, lewa usilewe.. Kifo kiko pale pale..
Uache kula Pork kisa suala la afya?
 
Profesa yuko hewani live usiku huu kupitia tbc1 kwenye kipindi cha mizani cha ayoub rioba. Mada inahusu utapiamlo na umuhimu wa lishe bora. Anaulizwa maswali ya lishe na anayajibu
 
Profesa yuko hewani live usiku huu kupitia tbc1 kwenye kipindi cha mizani cha ayoub rioba. Mada inahusu utapiamlo na umuhimu wa lishe bora. Anaulizwa maswali ya lishe na anayajibu
Kwani huyu ni prof wa chakula na lishe au wa moyo? Nakumbuka alikuwa mkuu wa jkci?
 

Picha ya juu.
Muonekano wa prof. Janabi wakati anakula milo zaidi ya 3 kwa siku.
Picha ya chini.
Muonekano wa prof. Janabi akiwa anakula mlo mmoja tu kwa siku.

Maoni yangu.
Kabla ya kuufuata ushauri wa prof. Janabi tuanze kufuatilia mwenendo wa afya ya mwili wake kwanza. Binafsi namuona kama anafhoofu kila uchwao.

Chakula ni kama mafuta kwenye gari, huwezi kuendelea kuliendesha kama huliongezei mafuta kulingana na km linazotembea

Sasa hii habari kwamba tule mara moja kwa siku, ndugu zangu mtaanguka maofisini mwenu. Shauri zenu.

Mwisho, prof. Janabi ni bingwa wa magonjwa ya moyo, huku kwenye nutrition anatafuta nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…