Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

Acheni kebehi za kitoto. Huyu Daktari anatoa ushauri mzuri kwa umma, leo mnamgeuza kituko. Kuwa serious kidogo.Kama ushauri wake sio mzuri kwako acha, lakini huyo ni mtu mzima na ni kiongozi na ana familia pia, jifunzeni kuheshimu watu.
 
Mimi kama mtiifu wa ushauri na maelekezo ya Janabi juu ya afya bora, nasema mwacheni.
Sisi wengine anatufaa kwa ‘motivesheni’ anazotupatia.

Huwezi kumkubali Janabi kama una kitambi mpakato.
He should shove up his **s huo ushauri mbuzi. Sina kitambi nakula 4 times a day mpaka 5 nina train na nina afya ya kuvutia. Aache uongo kwanza yeye si mtaalamu wa lishe.
 
Acheni kebehi za kitoto. Huyu Daktari anatoa ushauri mzuri kwa umma, leo mnamgeuza kituko. Kuwa serious kidogo.Kama ushauri wake sio mzuri kwako acha, lakini huyo ni mtu mzima na ni kiongozi na ana familia pia, jifunzeni kuheshimu watu.
Za kuambiwa watu tunachanganya na zetu. Anataka ku trend na ana depression. Ushauri akampe mkewe... Hatuwezi kubali kubali kila ujinga ukifungiwa kwenhe kifungashio chenye jina la utaalamu.
 
Tatizo la wasomi wetu wakisha maliza kusoma na kupata kazi nzuri. Wanasahau kabisa waliko toka. Hivi mtu anaye fanya kazi za ujenzi na za shambani unaweza ukamshauri ale mara moja kwa siku? Huo ushauri wa Dr janabi ni mzuri kwa watu kama yeye wanaamka saa nne anaoga saa tano anakula kipande cha boga. Baada ya hapo anaingia kwenye V8 kiyoyozi full. Akifika afisini anawasha computer masaa mawili. Kazi Kwisha.
 
Acheni kebehi za kitoto. Huyu Daktari anatoa ushauri mzuri kwa umma, leo mnamgeuza kituko. Kuwa serious kidogo.Kama ushauri wake sio mzuri kwako acha, lakini huyo ni mtu mzima na ni kiongozi na ana familia pia, jifunzeni kuheshimu watu.
Umesahau kuwa hata hapa JamiiForums Wendawazimu pia wapo na wamejazana tele tu? Hao wote Wanaomkebehi Profesa Janabi ni mfano Wao.
 
Hauna picha asiyokula mlo wowote zaidi ya kunywa chai tu asubuhi?
 
Acheni kebehi za kitoto. Huyu Daktari anatoa ushauri mzuri kwa umma, leo mnamgeuza kituko. Kuwa serious kidogo.Kama ushauri wake sio mzuri kwako acha, lakini huyo ni mtu mzima na ni kiongozi na ana familia pia, jifunzeni kuheshimu watu.

Umesahau kuwa hata hapa JamiiForums Wendawazimu pia wapo na wamejazana tele tu? Hao wote Wanaomkebehi Profesa Janabi ni mfano Wao.
Huyo daktati ni kimeo.
 
Zakuambiwa changanya na zako🪑🪑🪑🤣🤣🤣🎶🎶🎶
 
mkuu uko sahihi yeye angesema watu wa maofisini tungemuelewa kirahisi mtu uko machimboni unapiga nyundo mwanzo mwisho, uko bandarini unapakia cement ,uko shamba unavuja shasho mwanzo mwisho, ule mara moja kwa cku haiingii akilini afafanue vizuri mie ningemuelewa kama angekuja na ushauri wa kuhamasisha watu wawe na utamaduni wa kufanya mazoezi nchi nzima angeutendea haki huo usoni wake atuache tupambane na hari yetu
 
Acheni kebehi za kitoto. Huyu Daktari anatoa ushauri mzuri kwa umma, leo mnamgeuza kituko. Kuwa serious kidogo.Kama ushauri wake sio mzuri kwako acha, lakini huyo ni mtu mzima na ni kiongozi na ana familia pia, jifunzeni kuheshimu watu.
Endelea kupokea kila kitu bila kuhoji. Itakula kwako.

Nani alikudanganya kuwa kumkosoa mtu ni kumdharau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…