Acheni kebehi za kitoto. Huyu Daktari anatoa ushauri mzuri kwa umma, leo mnamgeuza kituko. Kuwa serious kidogo.Kama ushauri wake sio mzuri kwako acha, lakini huyo ni mtu mzima na ni kiongozi na ana familia pia, jifunzeni kuheshimu watu.
Sio kweliSasa hii habari kwamba tule mara moja kwa siku, ndugu zangu mtaanguka maofisini mwenu. Shauri zenu.
Kabisa aiseeGrade io
Haifichiki
Kwanza yeye ni bingwa magonjwa ya moyo huku kweye masuala ya nutrition anatafuta nini?Angevumbua dawa ningemuona wa maana sana
Ila yeye kutwa kuongelea chakula tu
Inaonyesha ana depression na anatumwagia sisi
Tunataka chanjo ya Mbu mambo ya ugali awaachoe mama ntilie
Hivi kebehi Maana yake nini?.Huyu kwani amemkebehi?Acheni kebehi za kitoto. Huyu Daktari anatoa ushauri mzuri kwa umma, leo mnamgeuza kituko. Kuwa serious kidogo.Kama ushauri wake sio mzuri kwako acha, lakini huyo ni mtu mzima na ni kiongozi na ana familia pia, jifunzeni kuheshimu watu.
Ajikite zaidi kwenye uongozi wa MNH.View attachment 2916580
Picha ya juu.
Muonekano wa prof. Janabi wakati anakula milo zaidi ya 3 kwa siku.
Picha ya chini.
Muonekano wa prof. Janabi akiwa anakula mlo mmoja tu kwa siku.
Maoni yangu.
Kabla ya kuufuata ushauri wa prof. Janabi tuanze kufuatilia mwenendo wa afya ya mwili wake kwanza. Binafsi namuona kama anafhoofu kila uchwao.
Chakula ni kama mafuta kwenye gari, huwezi kuendelea kuliendesha kama huliongezei mafuta kulingana na km linazotembea
Sasa hii habari kwamba tule mara moja kwa siku, ndugu zangu mtaanguka maofisini mwenu. Shauri zenu.
Mwisho, prof. Janabi ni bingwa wa magonjwa ya moyo, huku kwenye nutrition anatafuta nn?
Tumbo tumbo wanasumbua sana.Mimi kama mtiifu wa ushauri na maelekezo ya Janabi juu ya afya bora, nasema mwacheni.
Sisi wengine anatufaa kwa βmotivesheniβ anazotupatia.
Huwezi kumkubali Janabi kama una kitambi mpakato.
Umejikatia tamaa siyo!Ushauri wa Janabi ungekuwa bora sana kama maisha yangekuwa ni milele.
Unahangaika na kujinyima ili usipate sukari na presha kumbe kifo chako kitakuwa cha ajali!!
Nyoo! Sexless unamjua au unamsikia? Ana mwili mzuri ukoo wako wote ukasome.Naona watu wenye vitambi na vibonge wameungana kumsakama Janabi......hii inaonyesha kuwa spana zinawaingia.......anawaambia kile msichotaka kukisikia........
Kupaparika kwa maharage ndio kuiva kwake.......
Na hapo umegonga 'bull". Mavuzi ni kinga ya mlango wa kuingia sehemu husika. Si vizuri kuondoa askari hao. Hili nalo ni somo lifatalo stay turnedHuu ni daktari Bingham lkn kuna vitu sio vya kusikiliza maana anaweza kusema kunyoa mavuzi sio jambo jema ki afya
Dr Janabi hajashauri hivyo, usisikilize porojo za wazushi humu. Alisema kama kazi yako ni kukaa tu ofisini usile sana itakuletea shida ya magonjwa yasiyo ambukizwa, ila kama unafanya kazi ngumu kulaHivi mtu anaye fanya kazi za ujenzi na za shambani unaweza ukamshauri ale mara moja kwa siku?
Siyo chakula.fya za watu zimeyumba kwa mtindo wa maisha
Hivi kuna mwehu jf kukuzidi?ππππππUmesahau kuwa hata hapa JamiiForums Wendawazimu pia wapo na wamejazana tele tu? Hao wote Wanaomkebehi Profesa Janabi ni mfano Wao.
Siyo kila mwenye tumbbo anakula sana, wengine ni matokeo ya vinasaba.Tumbo tumbo wanasumbua sana.
Mtu akidondosha kalamu hawezi kuiokotaπ
Mtu ni kile anachokula.Siyo kila mwenye tumbbo anakula sana, wengine ni matokeo ya kijenetiki