green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Safi hii inatakiwa iwe scale ya taifa zima isipokua watoto wadogoAsubuhi anakula tango moja na mayai mawili ya kuchemsha .na maji glass 4.jioni saa 11 anakula kipande cha boga na sangara aliechemshwa na limao na kitunguu .anashushia na juisi ya anapiga na glas4 za maji
Asijali Ramadhan inakuja mwezi wa tatu, tutakula mara mbili kwa siku
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema katika maisha yake na kile anachoishauri jamii anamaanisha na kukiishi.
Amesema kwa siku anapata mlo mara mbili, na kila mlo unapishana kwa saa kadhaa, akijieupusha kula mara kwa mara.
Prof. Janabi ameyasema hayo leo, jijini Dar es Salaam, kwenye mahojiano maalum na vyombo vya habari.
Akienda bar Hali kongoro au hata kamshkaki?Asubuhi anakula tango moja na mayai mawili ya kuchemsha .na maji glass 4.jioni saa 11 anakula kipande cha boga na sangara aliechemshwa na limao na kitunguu .anashushia na juisi ya anapiga na glas4 za maji
Asante mkuu kwa ushauriUkienda Muhimbili ukipimwa,ukute unakimbizwa ICU.
Ulishasikia mtu kaanguka kafa ghafla?
Tufuate ushauri wa madaktari,fusil ate tamaa.
Baadhi yetu tunaenda hospitalini tukiwa hatua za mwisho kabisa,mtu anajiona yupo njema,kumbe ndani alishaisha.
Umeongea kila kituKwahio yeye kula mara mbili anafikiri mimi mbeba magunia sokoni ilala naweza kula mara mbili? Si nitaamkq usiku na njaa kama watu wanafagia tumboni na panga?
Kula inategemea na aina ya kazi,umri na vitu vingine. Binadamu wote hatuwezi kuwa kama yeye.
Mbona hana siha Njema?
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema katika maisha yake na kile anachoishauri jamii anamaanisha na kukiishi.
Amesema kwa siku anapata mlo mara mbili, na kila mlo unapishana kwa saa kadhaa, akijieupusha kula mara kwa mara.
Prof. Janabi ameyasema hayo leo, jijini Dar es Salaam, kwenye mahojiano maalum na vyombo vya habari.
Mjiandae na UlcersSIsi tunaokula mara moja kwa siku anatuambiaje
Alaf hapo umpe kazi ya kumwaga zege uone kama atawezaAsubuhi anakula tango moja na mayai mawili ya kuchemsha .na maji glass 4.jioni saa 11 anakula kipande cha boga na sangara aliechemshwa na limao na kitunguu .anashushia na juisi ya anapiga na glas4 za maji
Safi sana na hongera kuwa kwenye nchi hiyo.Asante mkuu kwa ushauri
Ila nipo nchi inayojali Raia
Ukivuka 50 tu unaanza kutumiwa email au simu ukapime hiki na kile
Na ukivuka 60 ndio kila wakati wao (serikali) ndio wajibu wao kutuangalia
Nimepimwa kila kitu na kila wakati wakinipa appointment huwa sichezei na silipi kitu ni bure
Sina hata kikohoo mkuu nashukuru Mungu
Wamepima mpaka cancer, tezi dume, kisukari, BP nk niko fit na ninafuatilia afya yangu kwa ukaribu
Ni kama mashine lazima ufanye services kila wakati
Na mimi nimevuka 60 tayari
Mh
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema katika maisha yake na kile anachoishauri jamii anamaanisha na kukiishi.
Amesema kwa siku anapata mlo mara mbili, na kila mlo unapishana kwa saa kadhaa, akijieupusha kula mara kwa mara.
Prof. Janabi ameyasema hayo leo, jijini Dar es Salaam, kwenye mahojiano maalum na vyombo vya habari.
Funguka hapaMimi nifikisha miaka mitatu nikiwa na utaratibu wa OMAD na mara chache sana nafanya 2MAD nimepata matokeo mengi mazuri sana. Age mates wananiuliza niwape siri ya mafanikio huwa nacheka tu maana najua hawawezi.
Kwanza yeye ana uwezo wa kupanga ale nini kila siku harafu anataka ambae hana uhakika wa chakula nae ale kwa kuruka ruka hawa jamaa sijui wana shida gani ina maana hawana hata ndugu walio na life ya kawaida wajifunze...Kwahio yeye kula mara mbili anafikiri mimi mbeba magunia sokoni ilala naweza kula mara mbili? Si nitaamkq usiku na njaa kama watu wanafagia tumboni na panga?
Kula inategemea na aina ya kazi,umri na vitu vingine. Binadamu wote hatuwezi kuwa kama yeye.
😂😂 kama watu wanafagia tumbon na pangaKwahio yeye kula mara mbili anafikiri mimi mbeba magunia sokoni ilala naweza kula mara mbili? Si nitaamkq usiku na njaa kama watu wanafagia tumboni na panga?
Kula inategemea na aina ya kazi,umri na vitu vingine. Binadamu wote hatuwezi kuwa kama yeye.