Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Akitaka umaarufu agundue dawa ambayo wazungu imewashinda.Kupanga ni kuchagua.
Sauti kutoka zilankende
Haya ndio yale ya yule Dr. wa kisabato aliyewaharibu Watanzania kwa kushindia Dona.Prof uchwara sawa na Mwenzakw Kabudi tu. Sasa prof hana tofauti na Lokole huyo. Jana anasema tusile vitu vitamu. Eti hata kula chungwa au ndizi ni hatari kwa afya. Jamaa anatengeneza tension bila sababu yoyote na anatafuta trending kama Mwijaku sasa.
Kula dona bro. Sumu inatoka wapi? Wazungu wanaprove vipi vitu ambavyo hawavili.Haya ndio yale ya yule Dr. wa kisabato aliyewaharibu Watanzania kwa kushindia Dona.
Dona ina sumu na inaharibu uwezo wa kufikiri wazungu wameprove.
Sasa hivi Watanzania wanapiga Dona mno
Bongo lolote unaongea maadamu tu litabambaHivi Janabi ni cardiologist ama Nutritionist?
Maana anavyoongelea chakula ni kama vile yeye ni specialized Nutritionist.
Ama ukiwa daktari unaweza kuzungumzia jambo lolote la chakula?
Huu mswali inabidi akandamizwe na Mwanahabari aliechafukwa sio hawa wanaopangiwa cha kuuliza wakifika kwenye Press kila mmoja anapewa karatasi yenye maswali waliulize na wasiulize maswali tofauti na yaliyopo kwenye hio karatasi yaan Prof anakua amekuja na majibu ya kila swali litakalo uliza sio swali la ghafla.Hivi Janabi ni cardiologist ama Nutritionist?
Maana anavyoongelea chakula ni kama vile yeye ni specialized Nutritionist.
Ama ukiwa daktari unaweza kuzungumzia jambo lolote la chakula?
Siyo kazi yake kugundua dawa yeye si pharmacistAkitaka umaarufu agundue dawa ambayo wazungu imewashinda.
Sasa uprof. wa nini huku kila kitu kakariri kutoka kwa mabeberu
Ndugu huko Ulaya madaktari hugundua dawa, na pharmacist nao hugundua dawa.Siyo kazi yake kugundua dawa yeye si pharmacist
yeye kazi yake ni nini?Siyo kazi yake kugundua dawa yeye si pharmacist
wanazidiwa na waganga wa kienyejiNdugu huko Ulaya madaktari hugundua dawa, na pharmacist nao hugundua dawa.
Haya nitajie dawa iliyogundulika na pharmacist wa chuo kikuu cha Tanzania na hiyo dawa imevuka mpaka wa nchi?
Sisi hatuna kituo cha ugunduzi wa madawa au kipo ??Ndugu huko Ulaya madaktari hugundua dawa, na pharmacist nao hugundua dawa.
Haya nitajie dawa iliyogundulika na pharmacist wa chuo kikuu cha Tanzania na hiyo dawa imevuka mpaka wa nchi?.
Kama daktari hatakiwi kuzijui dawa na effects zake kwanini wanawaandikia dawa wagonjwa?