Prof. Janabi unataka uwapangie watu ratiba za kula?

Prof. Janabi unataka uwapangie watu ratiba za kula?

Hivi ndivyo vichekesho ambavyo vinapatikana Bongo.
Prof. wa kwenye media, professor Janabi siku moja nilimsikia anasema kuwa kama unavaa nguo yenye kiuno size 37 wewe ni mgonjwa. Inamaana huyu Prof. Uchwara hajui kuwa kuna watu naturally wana maumbo makubwa?
Kama mwili wako una umbo dogo ukinenepa na kuvaa suruali size 32 yawezekana uko over weight. Kuna mtu mwingine akivaa suruali size 34 kulingana na mwili wake hapo tunasema anaumwa na amekonda.
Huyu Janabi hata BMI ya form 2 ina maana kaisahau?.
Zaidi ya yote ni kwamba kila mtu aishi apendavyo. Hata gymnast na athletes wengi wanakufa chini ya miaka 55, hivyo maisha hayana kanuni.
Pole sana
 
Haya ni matusi tu.

Aliyeiona hoja anionyeshe.

Hebu ona wenye madukuduku yao, ni kejeli juu ya kejeli (Matusi)
 
Anakwambia hata unywaji wa juice ni hatari kwa afya yako, haijalishi ni juice ya aina gani,,, hakika huyu ni proffesor 😅😅
Sasa kama vitu vitamu vyote ni hatari pesa tutafute za nini?
🤣🤣🤣
Ipo siku atasema maku si nzuri kiafya
 
Ahahahah
Magu aliwaendesha watu aisee
Mpaka majeshi yalipigishwa nyungu

Halafu akamtuma Profesa Kabudi na ndege , kutuletea dawa ya covid kutoka Madagascar na wakainywa mbele ya waandishi wa habari

TZ kuna wazimu
 
Hivi ndivyo vichekesho ambavyo vinapatikana Bongo.
Prof. wa kwenye media, professor Janabi siku moja nilimsikia anasema kuwa kama unavaa nguo yenye kiuno size 37 wewe ni mgonjwa. Inamaana huyu Prof. Uchwara hajui kuwa kuna watu naturally wana maumbo makubwa?
Kama mwili wako una umbo dogo ukinenepa na kuvaa suruali size 32 yawezekana uko over weight. Kuna mtu mwingine akivaa suruali size 34 kulingana na mwili wake hapo tunasema anaumwa na amekonda.
Huyu Janabi hata BMI ya form 2 ina maana kaisahau?.
Zaidi ya yote ni kwamba kila mtu aishi apendavyo. Hata gymnast na athletes wengi wanakufa chini ya miaka 55, hivyo maisha hayana kanuni.
Kwani kuna uhusiano gani wa kugundua na ushauri wake? Kwani agundua dawa ya minyoo ambayo tayari ipo, huyu ni dakitari mbingwa tuwe na utamaduni wa kiheshimu taaluma za watu, sisi watanzania ni wajuaji sanaa ata yule aliemaliza form four tu, .......
 
[emoji23][emoji23]
FB_IMG_1708522786642.jpg
 
Samahani sana na wala si kwa kuombeana mabaya.

Hivi ikitokea tunapata taarifa ya kifo cha Dr huyu kifo ambacho kimetokana na matatizo ya moyo hali itakuwaje?

Nawasilisha.
 
Kwamba
Prof Janabi
Juma Lokole
Baba Levo
Mwijaku
Dotto Magari
Sasa ni kundi moja lengo ni kutrend mitandaoni? Hii nchi ngumu👐🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom