Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ndivyo vichekesho ambavyo vinapatikana Bongo.
Prof. wa kwenye media, professor Janabi siku moja nilimsikia anasema kuwa kama unavaa nguo yenye kiuno size 37 wewe ni mgonjwa. Inamaana huyu Prof. Uchwara hajui kuwa kuna watu naturally wana maumbo makubwa?
Kama mwili wako una umbo dogo ukinenepa na kuvaa suruali size 32 yawezekana uko over weight. Kuna mtu mwingine akivaa suruali size 34 kulingana na mwili wake hapo tunasema anaumwa na amekonda.
Huyu Janabi hata BMI ya form 2 ina maana kaisahau?.
Zaidi ya yote ni kwamba kila mtu aishi apendavyo. Hata gymnast na athletes wengi wanakufa chini ya miaka 55, hivyo maisha hayana kanuni.
Prof uchwara sawa na Mwenzakw Kabudi tu. Sasa prof hana tofauti na Lokole huyo. Jana anasema tusile vitu vitamu. Eti hata kula chungwa au ndizi ni hatari kwa afya. Jamaa anatengeneza tension bila sababu yoyote na anatafuta trending kama Mwijaku sasa.
tunacho jaribu kuwaelewesha wengi ni kwamba madaktari wetu elimu zao ni kama msahafu wanaamini kile kilichopo kama msahafu na hawana uwezo wa kuja na mawazo mapya mfano wewe unaamini kwa vile dawa za minyoo zipo basi huna haja ya kuhangaisha ubongo wako, ghafla tuje tusikie huko india au ulaya kuna dawa mpya au chanjo ya minyoo huoni huo utofauti? Nyinyi mnachojua mkisoma mkamaliza chuo kazi imeisha wala hamna muda wa kuchallenge kila kilichopo mmakiamini kilichopo mnakuja kukihubiri kwa umma tena kitu ambacho kinakinzana na uhalisia hata kwa wasiona ufahamuKwani kuna uhusiano gani wa kugundua na ushauri wake? Kwani agundua dawa ya minyoo ambayo tayari ipo, huyu ni dakitari mbingwa tuwe na utamaduni wa kiheshimu taaluma za watu, sisi watanzania ni wajuaji sanaa ata yule aliemaliza form four tu, .......
miaka nenda miaka rudi hana mawazo mapya ndio maana chuo chake kimeporomoka kiubora tumepitwa na uganda ambao tulikuwa tunawazidi, maprofesa wenzake wanaumiza vichwa namna ya kupandikiza moyo wa nguruwe umsaidie binadamu yeye anahangaika na unywaji wa juisi huoni tatizo hapo?
Tukiumwa ndo tunapokimbilia huko,na wanatutibu nyie wapiga kelele tushawazoea.miaka nenda miaka rudi hana mawazo mapya ndio maana chuo chake kimeporomoka kiubora tumepitwa na uganda ambao tulikuwa tunawazidi, maprofesa wenzake wanaumiza vichwa namna ya kupandikiza moyo wa nguruwe umsaidie binadamu yeye anahangaika na unywaji wa juisi huoni tatizo hapo?
hatupingi mchango wao kwa jamii ktk kutibu wanatibu na tunapona, hoja kuu ni kwamba hicho kilichopo wameridhika nacho hawana mawazo mapya kama madaktari wenzao wa india na ulaya ndio maana yanapotokea magonjwa mapya wao hukaa kama sisi kusubiri wenzao wa ulaya watengeneze tiba ndio waitumieTukiumwa ndo tunapokimbilia huko,na wanatutibu nyie wapiga kelele tushawazoea.
Hili nalo nenoHivi Janabi ni cardiologist ama Nutritionist?
Maana anavyoongelea chakula ni kama vile yeye ni specialized Nutritionist.
Ama ukiwa daktari unaweza kuzungumzia jambo lolote la chakula?
Matunda mengi ni matamu, labda tule pilipili.Prof uchwara sawa na Mwenzakw Kabudi tu. Sasa prof hana tofauti na Lokole huyo. Jana anasema tusile vitu vitamu. Eti hata kula chungwa au ndizi ni hatari kwa afya. Jamaa anatengeneza tension bila sababu yoyote na anatafuta trending kama Mwijaku sasa.
Ameshaurii tuuu ukipenda chukuaa hutaki achaaaaHivi ndivyo vichekesho ambavyo vinapatikana Bongo.
Prof. wa kwenye media, professor Janabi siku moja nilimsikia anasema kuwa kama unavaa nguo yenye kiuno size 37 wewe ni mgonjwa. Inamaana huyu Prof. hajui kuwa kuna watu naturally wana maumbo makubwa?
Kama mwili wako una umbo dogo ukinenepa na kuvaa suruali size 32 yawezekana uko over weight. Kuna mtu mwingine akivaa suruali size 34 kulingana na mwili wake hapo tunasema anaumwa na amekonda.
Huyu Janabi hata BMI ya form 2 ina maana kaisahau?
Zaidi ya yote ni kwamba kila mtu aishi apendavyo. Hata gymnast na athletes wengi wanakufa chini ya miaka 55, hivyo maisha hayana kanuni.
Kumekucha, kumekuchaaa!!Hivi ndivyo vichekesho ambavyo vinapatikana Bongo.
Prof. wa kwenye media, professor Janabi siku moja nilimsikia anasema kuwa kama unavaa nguo yenye kiuno size 37 wewe ni mgonjwa. Inamaana huyu Prof. hajui kuwa kuna watu naturally wana maumbo makubwa?
Kama mwili wako una umbo dogo ukinenepa na kuvaa suruali size 32 yawezekana uko over weight. Kuna mtu mwingine akivaa suruali size 34 kulingana na mwili wake hapo tunasema anaumwa na amekonda.
Huyu Janabi hata BMI ya form 2 ina maana kaisahau?
Zaidi ya yote ni kwamba kila mtu aishi apendavyo. Hata gymnast na athletes wengi wanakufa chini ya miaka 55, hivyo maisha hayana kanuni.
Kwa hiyo inahitaji uprofesa ili ujue lishe bora ipoje?Hivi Janabi ni cardiologist ama Nutritionist?
Maana anavyoongelea chakula ni kama vile yeye ni specialized Nutritionist.
Ama ukiwa daktari unaweza kuzungumzia jambo lolote la chakula?
Anakwambia hata unywaji wa juice ni hatari kwa afya yako, haijalishi ni juice ya aina gani,,, hakika huyu ni proffesor 😅😅
Weka picha za izo makituKuna hizi makitu wazee wetu wakichaga walikua wanakula kama chakula waliishi miaka zaidi ya 100 bila kuugua ovyo .
Note: zipo tamu na chungu zile chungu ndio zenyewe. View attachment 2912012