antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Hawa watakuwa ni wapenzi wa chips yai, chips kuku broiler anashushia na soda ya Energy, hawataki kuambiwa ukweli.Ona vibonge wazee wa kula kula wanavyomshambulia Prof Janab. Halafu unaweza kuta wao ni walimu wa kiswahili huko kijijini mpwiti.
Mtu siyo mtaalamu wa afya analeta ujuaji wa kukosoa professor ambaye ni tabibu anayetoa elimu bure kwa nia njema tu watu wasiathirike bila kujua. Hovyo kabisa hawa..
View: https://youtu.be/k_UNLDrfMSg?si=WTlAu-_6_2yWl-6j